Sitaki kabisa mume mlevi

Sitaki kabisa mume mlevi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,027
Reaction score
52,500
Yaani mwanaume mlevi simtaki kabisa. Wanawake waliiolewa na walevi wanapata tabu sana bora niendelee kupiga miayo.

Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya mimi mke mwema, namtoa out namnunulia pombe wee from there najua nimsave au nimdelete.

Ila wanaume wa Dar mnapenda pombe jamani. Mtakuja kufumuliwa marinda nyie.

Mlevi hapana sitaki kabisaaa?!!
 
Yaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
My mm c mleviiiiiiiiiiiii
 
Mimi nimeamka salama namshukuru Mwenyezi Mungu
 
Duniani kuna wanaume wa aina tatu tu

-Wanaopenda pombe
-Wanaopenda wanawake
-Wanaopenda michezo
Ukiona mwanaume anapenda pombe na michezo basi Hugo atakuwa sio mtu wa wanawake sana

Ukiona ni mtu anayependa sports na wanawake basi huyo kwenye pombe hausiki sana

Tafiti zinasema wanaume wengi wasiokunywa pombe wana upungufu wa akili au hormones za testosterone.
Na wanaume Wenye iQ kubwa ni watumiaji wa pombe

https://www.psychologytoday.com/int...010/why-intelligent-people-drink-more-alcohol
 
hayo ndo uliyoyaona kwa shost ako..? mpe pole.
 
Mimi bado naendelea kupambana na ule ung'eng'e wa jana nijue applicability yake
He he heeeeeeee wacha niwe na heko hapaa, , nikuunganishe na Rasi Simba akusaidie kunyumbua??
Khaaaaa wee naye unaniangusha, ule ung'eng'e mbona ulikua unajieleza??

Nabahat yako uliwah kufunika kamusi nilitaka nikutoe Kwa KO !!! Refa mimi....mchezaji mimi ....shabiki mimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom