JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 499
Nikisema mimi mtasema naongopa.
Nitaachia wengine waje kuukata huo mzizi wa fitna hapa.
JS anaweza kuja kuukata huo mzizi.....
Dinazarde pia
Dark City naye kwa kiasi chake anaweza.
Mwali pia
Heck...hata Reina princess...
Hivi uliniita NN wangu? nani anakusumbua na maswali?