Sitaki dawa

Kama ni imani inakuwaje kwa watoto wanaozaliwa na HIV? Si ingetokea kwa watu wengine.

Kabla ya kukujibu swali lako,ulitakiwa pia kujiuliza kwanini pia kuna watoto wanazaliwa HIV- wakati mama zao wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs?Au hujui kama kuna watoto wengi sana wa namna hii huzaliwa kila siku?

Kasumba au imani hii mliyonayo inawafanya mjiulize yale maswali mnayopenda kujiuliza tu,ila maswali yale yenye mikanganyiko ambayo iko wazi kabisa hamuwezi kuyaona kwa kuwa yako nje ya imani yenu.Akili za watu wengi ni kama zimewekewa frame/wigo wa kufikiri,haziwezi kufikiri zaidi ya kile walichokisikia kutoka kwenye vyombo vya habari kuhusu suala hili.Mtu ambaye akili yake imewekewa frame/wigo hawezi kujikwamua mwenyewe kutoka kwenye hali hiyo kwa kuwa hajijui,inatakiwa mtu mwingine kutoka nje aje amkwamue,mimi hukwamua watu wengi sana waliolemaa katika suala hili ovu,la uongo na la kikatili kabisa la HIV/AIDS.

Pia je,unajua kama kuna watoto wanapimwa HIV+ wakati mama na baba zao ni HIV-,he he heee,inawezekana hili hulijui kwa kuwa hukuwahi kufuatilia.Jambo kama hili linapotokea madaktari huwa wanasema inawezekana mtoto kanyonya maziwa ya mama mwingine aliyeathirika na takataka za majibu kama hayo,he he heee,huwa madaktari hawakosi jibu kwenye kila swali linalohusu HIV/AIDS,hata kama wanajua wanajibu pumba.Sasa je,unajua sababu halisi inayosababisha hilo kutokea?Usiniambie mtoto wa miezi 4 anaweza kufanya ngono.

Sasa kama hujui jibu la swali nililokuuliza,wewe niambie halafu mimi nitakujibu maswali yote mawili,yaani lile ulilouliza wewe na hili nililokuuliza mimi kwa pamoja.
 
Mkubwa unapitea sana, jina limeonekana kwenye Yale ya wakuu wa wilaya au mkoa? Mentor amekuja tofauti sana Leo, hii dozi naona iko advanced kidogo.

mkuu hii kasi ya JPM inatuficha... Ukionekana sana online unafanywa mfanyakazi hewa 🙂!!!

Mentor mi bado sitaki kuamin, ngoja wiki ianze tukutane kwenye vikao
 

Mkuu nimekuelewa lakini nataka nipate uhakika zaidi uje nikupime HIV ukiwa HIV- nitakutafutia mwanamke HIV+ umgegede bila ndomu halafu after 3 months tuone matokeo.
 

Kaka ebu nifunulie jalada plz, nahitaji kufahamu man!
 
Mmhh ndefu buana mpaka nmesoma mwanzo na mwisho
 
Pole my dear...wala usijihukumu wala kukata tamaa ......kikubwa weka tumaini lako kwa MUNGU...naye atatenda...ataondoa kila aina ya magumu unayopitia....naomba usikate tamaa...bali mlilie MUNGU kwa kumaanisha na yeye atakuitikia....
 
Pole sana kaka...ila kumbuka HIV sio "death sentence"....kumbuka, kufa ni lazima, kuishi ni bahati...wote tunaelekea njia moja, tofauti ni moja tu...nani anatangulia
 
Naona kama unajichosha tu mkuu. HIV virus wanaosababisha kupungua kwa kinga ya mwili wapo na wataalamu bado wanaendelea kutafuta dawa kukiangamiza kirusi hiki. Usidanganye watu hapa UKIMWI upo na UNAUA.watu wabadili tabia na kuchukua tahadhari. Hakuna cha mindsets wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…