Sitaki dawa

...sisy darling, story imepoteza hisia zako? Naamini hakugusi mtu kwa mda
. Haya sasa tukapime, nakusindikiza usijali

Mentor ni msimuliaji mzuri sana, ametupa awareness tu, at least naamini hivyo.
Yani kama upo moyoni mwangu vile. "saikolojia" yangu imekufa kabisaaa. Kupima mbona napima tu hata sasa hivi. Kuna hii statement " Mungu ungeninyima scholarship, ukanipa afya yangu". Nishawahi ishuhudia statement kama hiyo kwa mtu wangu wa karibu sana. its a very sad long story, ila katika yote alimuomba Mungu amuachie tu afya yake, basi. Since that day HS niamke sijui nina majanga gani, ila nikiwa tu na afya, siumwi mmmh nasahau mengine yote kwa muda

I still pray ninachokiamini kuhusu story hii kiwe hivyo kweli. Otherwise as ulivyosema maisha lazima yaendelee whether + or -. As long as mtu huumwi kwamba umelazwa tu kitandani.....you just go out there and validate your dreams.
 
ukimwi haitibu...ila virusi vya ukimwi kwa asilimia 89...inaondoa...nimekujibu wewe tuu mimi sio mganga na wala sitangazi biashara

Sawa mkuu, kwa hili tupo pamoja.

Ni kweli dawa zinashusha kiwango cha VIRUSI kwenye damu hivyo upo sahihi.
 
Wewe ni muongo wa kutupa, unavyoandika havipo acha kupotosha watu humu na uongo wako.

 
Mkuu Deception nimesoma hizo karatasi (paper) za prof Duesberg ila nilichoona ana-argue kuwa AIDS haisababishwi na HIV ingawa hasemi kuwa HIV haipo kama wewe unavyodai. Na pia findings zake bado sio conclusive kwa sababu walimkatia funds za kuendelea kufanya research. Ametumia statistical analysis by comparison with other epidemic diseases characteristically to argue that HIV is NOT the agent of AIDS and his arguments makes a lot of sense actually.

Hivyo basi mimi nafikiri wewe unachotakiwa kufanya ni kuwakilisha huu upande wa pili wa shilingi lakini sio kudai ndiyo mwenye ukweli wote kama unavyofanya sasa.

 
 
nashindwa kuamini kabisa Mentor nashindwa kuelewa kuwa ni kweli au ni stori tu

ila ninachokuomba kuwa strong bible katika jeremia 27:31-32 sijakosea au kama nimekosea andiko ila linasema kuwa nanukuu "Mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili je kuna jambo gumu nisiloliweza? hakuna jambo gumu linaloshinda Mungu cha kufanya mruidie muumba wako naye atakuotokea na fanya maamuzi magumu ya kumkabidhi Yesu maisha yako soma wapilipi 9:10-12 ukiamini kwa kinywa chako utapata wokovu naye Mungu atakuponya mtegemee Mungu na kuwa mtu wa maombi atakutokea husikate tamaa na kuvunja ndoto zako endelea kusoma na songa mbele my besttito friendy
 
Take it easy bro. Bado una nafasi yakufikia malengo yako. Nakusihi pia usiwaambie ndugu zako hali hii. Hasa wale wanaokutegemea utawakatisha tamaa.
 
Jaman mimi nazidi kuumia.... naumia sana jamani
Mentor njoo uonekane humu mara moja tu walau nikuulize kitu kimoja...
Nina hali mbaya
 
Sasa naanza kukuelewa dada.
Ebu ngoja niishie hapa maana ukubwa nao ni pamoja na kujifunza kua na kifua pasipo kuingia GYM
 
Amepataje ujasiri wa kufunguka tena mapema mno.
Kupata ujasiri ni moja ya sehem ya ukomavu aiseeee....
Na yawezekana kwa ujasiri huo alio uonyesha Mentor, ikasababisha kupona kwa wengi ama wachache na walio kwenye maambukizi wakajiona ni wathamani na maisha yao yakajijenga upya kama hapo kale.

Done....
 
Dah nimesoma kwa kurudia rudia ili nijue kama ni chai au vipi? Lakini ukisoma vuzuri utagundua mood ya mwandishi ni Sad, so inawezekana ni ukweli, pole sana kaka mentor, bado una maisha marefu so usikate tamaa kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…