Kutaja mama, dada nk ...does't solve the problem sisi wengine tuna dada zetu na ndugu zetu pia wa kike tunaona wanavyoendesha maisha sikuhizi...hawatulii...hawataki kuvumilia umaskini hata kidogo..na wanakuwa na papara ya maisha...unless otherwise wewe ndugu zako wa kike ni malaika hawana shida...!!!!!Acheni mawazo mgando anza kutokumwamini mama yako Dada zako na Ndugu zako wote Wa jinsia ya kike maana msg yako imewaona sibinadamu badala yakuona wanaume nimajanga unawaonea wanawake
Don' t be like that..!!!jitambue na ujiheshimu sana mkuu..na mungu atakubarikiinasikitisha ila ndio hivyo
Kutaja mama, dada nk ...does't solve the solution sisi wengine tuna dada zetu na ndugu zetu pia wa kike tunaona wanavyoendesha maisha sikuhizi...hawatulii...hawataki kuvumilia umaskini hata kidogo..na wanakuwa na papara ya maisha...unless otherwise wewe ndugu zako wa kike ni malaika hawana shida...!!!!!
A woman's heart is like an ocean.....full of secrets and plenty of things hidden..... ukiwa na mwanamke ambae yuko in love with another man.....anything can happen....
Na ukiwa na mwanaume ambaye yuko in love with another woman,hapo inakuwaje?A woman's heart is like an ocean.....full of secrets and plenty of things hidden..... ukiwa na mwanamke ambae yuko in love with another man.....anything can happen....
Na ukiwa na mwanaume ambaye yuko in love with another woman,hapo inakuwaje?
Na ukiwa na mwanaume ambaye yuko in love with another woman,hapo inakuwaje?
Hongera sana kwa upande wako..unakutana na unazungukwa na wanawake wazuri na wanaojitambua..ila sisi wengine tumepata exposure ambayo siyo nzuri ndo maana tunaongea hivi..Mama Yangu na Ndugu zangu wote wakike si malailaka ila hawana shida kama wako hata walioolewa pia hatujawahi kusikia Kesi kwa maana hiyo wako salama ila wanaume ndiyo viwembe tujiangalie vizuri pole kama umeowa ukapoteza uaminifu kwa mkeo kama bado hutakiwi kuzungumza chochote juu ya mke na mme maana hujuwi maumivu ya ndoa