Crystal Mangum, mbinguni utapasikia mwenye

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,195
Reaction score
10,709
Mwanamke mmoja aitwaye Crystal Mangum kutoka Durham, North Carolina huko Marekani ambaye alidai kuwa amebakwa na Wanaume watatu wa Timu ya Chuo Kikuu cha Duke University mwaka 2006 amejirudi na kufuta kauli yake kwa kusema hakubakwa na Wanaume hao kama alivyoshuhudia Mahakamani.
Crystal-Mangum.jpg

Mangum amekiri kosa hilo katika mahojiano na Taasisi ya marekebisho ya Wanawake ya North Carolina ambapo amenukuliwa akisema “nilitoa ushahidi wa uongo dhidi yao kwa kusema kwamba walinibaka wakati hawakunibaka, hilo lilikuwa kosa na nikasaliti imani ya Watu wengine wengi walioniamini”.
1200x675.jpg

Mwaka 2006 Mwanamke huyo alitikisa vichwa vya Habari aliposema kuwa amebakwa na Wanaume watatu wa Timu ya Chuo Kikuu cha Duke University na kupelekea Wanaume hao walipandishwa kizimbani ambako kesi hiyo ilifutwa baada ya ushahidi kutojitosheleza.
images (66).jpeg

Maungamo ya Mangum yamemfikia Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ambaye ameandika ujumbe kupitia mtandao wa Truths Social akionyesha kushangazwa na Mwanamke huyo kukiri hadharani kuwa alidanganya kuwa amebakwa na kuwaharibia maisha Watu wengine “Mwanamke anakiri kutunga tuhuma kabisa katika Kesi ya kutisha ya Duke Lacrosse, aliharibu maisha ya Vijana hawa” - ameandika Trump.

Wachezaji wa zamani wa Duke, David Evans, Collin Finnerty na Reade Seligmann, walitangazwa kuwa hawana hatia mwaka wa 2007.
-----------------------------------------------------------------------------
Tokea dunia iliposhuhudia Mkutano wa Beijing, kwa kiasi kikubwa wanawake wametumika kama silaha ya kuwaumiza wanaume. Wanawake ndo wamekuwa vikwazo kwenye maisha ya wanaume duniani, mwanamke anaweza kwenda polisi kuripoti tukio la uongo dhidi ya mwanaume na kupewa RB.
images (66).jpeg

Ukapigwa kama mbwa na kulala rumande kisha asubuhi inayofuata utatolewa kuwa mwanamke amekosea kuwa mhusika sio wewe hivyo msamehe tu maisha yaendelee. Mwanamke ndiye anaweza kuomba talaka kisa hauna uwezo wa kumpa 10k kwa siku ya chakula akiwa kama mke na kukubali kwenda kujiuza ili apate 100k kwa mwanaume mwingine.

Mwanamke ana sauti kubwa kwenye madawati ya kijinsia kuliko sauti ya mwanaume, polisi huwa makini sana kwenye kufuatilia madai ya unyanyasaji dhidi ya mwanamke.
Crystal-Mangum.jpg

Alichokifanya Crystal Mangum sio kitu kigeni duniani, ni muendelezo wa malengo ya siri ya kuwafanya wanaume wawe chini ya wanawake. Machozi ya baadhi ya wanawake ni ya kinafki kupita maelezo. Familia ya David Evans, Collin Finnerty na Reade Seligmann zitamchukuliaje huyu mwanamke dhalimu namna hii? Mahakama itamuachia huru kabsa Crystal Mangum na kuomba msamaha wa mdogo pasipo kuwajibishwa.

Je kwanini kama alidanganya ndani ya Mahakama na wanaume hao watatu wakaenda jela miaka yote hiyo, kwanini Crystal Mangum naye asipewe miaka hiyo ya kwenda jela? Aah haiwezekani, Mangum ni mwanamke! You Mahakama haiwezi kufanya hivyo kwasababu kuu, Crystal Mangum ni mwanamke. Angekuwa Murphy au Christopher basi ungesikia mchakato umekamilika na kuingia kwenye kifungo. Majaji na watu wa sheria ambao wengine ni wanaume bado watamcmuunga Mkono mwanamke.
images (66).jpeg

Bro zaidi ya machozi ya Bi Mkubwa usije kuamini machozi ya mtoto wa kike mwingine, na kukiwa na ugomvi au sitofahamu kumbuka kuchukua ushahidi wa sauti ama video ili vitumike kama ushahidi. John Depp na Neymar walipona kwasababu Camera zilichukua matukio yote.

Crystal Mangum umefanya kitu cha ajabu, nadhani Mzee Baba Devil anajifunza kupitia kwako
 
Wewe unachukia wanawake...mahusiano yako yatakua na frictions sana, usipobadilika hautaenjoy kuwa na wanawake and after series of broken relationships utabaki bitter for life...na habari ndio hio!!!
 
Mwanamke mmoja aitwaye Crystal Mangum kutoka Durham, North Carolina huko Marekani ambaye alidai kuwa amebakwa na Wanaume watatu wa Timu ya Chuo Kikuu cha Duke University mwaka 2006 amejirudi na kufuta kauli yake kwa kusema hakubakwa na Wanaume hao kama alivyoshuhudia Mahakamani.
View attachment 3177739
Mangum amekiri kosa hilo katika mahojiano na Taasisi ya marekebisho ya Wanawake ya North Carolina ambapo amenukuliwa akisema “nilitoa ushahidi wa uongo dhidi yao kwa kusema kwamba walinibaka wakati hawakunibaka, hilo lilikuwa kosa na nikasaliti imani ya Watu wengine wengi walioniamini”.
View attachment 3177737
Mwaka 2006 Mwanamke huyo alitikisa vichwa vya Habari aliposema kuwa amebakwa na Wanaume watatu wa Timu ya Chuo Kikuu cha Duke University na kupelekea Wanaume hao walipandishwa kizimbani ambako kesi hiyo ilifutwa baada ya ushahidi kutojitosheleza.
View attachment 3177738
Maungamo ya Mangum yamemfikia Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ambaye ameandika ujumbe kupitia mtandao wa Truths Social akionyesha kushangazwa na Mwanamke huyo kukiri hadharani kuwa alidanganya kuwa amebakwa na kuwaharibia maisha Watu wengine “Mwanamke anakiri kutunga tuhuma kabisa katika Kesi ya kutisha ya Duke Lacrosse, aliharibu maisha ya Vijana hawa” - ameandika Trump.

Wachezaji wa zamani wa Duke, David Evans, Collin Finnerty na Reade Seligmann, walitangazwa kuwa hawana hatia mwaka wa 2007.
-----------------------------------------------------------------------------
Tokea dunia iliposhuhudia Mkutano wa Beijing, kwa kiasi kikubwa wanawake wametumika kama silaha ya kuwaumiza wanaume. Wanawake ndo wamekuwa vikwazo kwenye maisha ya wanaume duniani, mwanamke anaweza kwenda polisi kuripoti tukio la uongo dhidi ya mwanaume na kupewa RB.
View attachment 3177738
Ukapigwa kama mbwa na kulala rumande kisha asubuhi inayofuata utatolewa kuwa mwanamke amekosea kuwa mhusika sio wewe hivyo msamehe tu maisha yaendelee. Mwanamke ndiye anaweza kuomba talaka kisa hauna uwezo wa kumpa 10k kwa siku ya chakula akiwa kama mke na kukubali kwenda kujiuza ili apate 100k kwa mwanaume mwingine.

Mwanamke ana sauti kubwa kwenye madawati ya kijinsia kuliko sauti ya mwanaume, polisi huwa makini sana kwenye kufuatilia madai ya unyanyasaji dhidi ya mwanamke.
View attachment 3177739
Alichokifanya Crystal Mangum sio kitu kigeni duniani, ni muendelezo wa malengo ya siri ya kuwafanya wanaume wawe chini ya wanawake. Machozi ya baadhi ya wanawake ni ya kinafki kupita maelezo. Familia ya David Evans, Collin Finnerty na Reade Seligmann zitamchukuliaje huyu mwanamke dhalimu namna hii? Mahakama itamuachia huru kabsa Crystal Mangum na kuomba msamaha wa mdogo pasipo kuwajibishwa.

Je kwanini kama alidanganya ndani ya Mahakama na wanaume hao watatu wakaenda jela miaka yote hiyo, kwanini Crystal Mangum naye asipewe miaka hiyo ya kwenda jela? Aah haiwezekani, Mangum ni mwanamke! You Mahakama haiwezi kufanya hivyo kwasababu kuu, Crystal Mangum ni mwanamke. Angekuwa Murphy au Christopher basi ungesikia mchakato umekamilika na kuingia kwenye kifungo. Majaji na watu wa sheria ambao wengine ni wanaume bado watamcmuunga Mkono mwanamke.
View attachment 3177738
Bro zaidi ya machozi ya Bi Mkubwa usije kuamini machozi ya mtoto wa kike mwingine, na kukiwa na ugomvi au sitofahamu kumbuka kuchukua ushahidi wa sauti ama video ili vitumike kama ushahidi. John Depp na Neymar walipona kwasababu Camera zilichukua matukio yote.

Crystal Mangum umefanya kitu cha ajabu, nadhani Mzee Baba Devil anajifunza kupitia kwako
Yani Huu usiku wa manane bado mko macho jamvin na kuposti uzi, kama taifa tunaelekea wapi? Huu ni mda wa kulala siyo mda wa porojo. Tendeeni haki miili yenu bana.

C'mon kalaleni!
 
Back
Top Bottom