Sitakaa nimsahau mwanamke yule fedhuli….!

Heshima mbele: Hii hainihusu mimi....
Ole wake atakayenihusisha na habari hii..............LOL

Ha ha haaaaaaaaa Mtambuzi ndio zako kututishia kila unaposimulia visa vyako! Inakuhusu sana!
Ila duh! Inaonekana huyo dada alikukera kweli. Eti amejichubua na uso wake kufanana kama pupa wa kipepeo!
 
Last edited by a moderator:
Kweli experience za kwanza huwa zinafurahisha sana!!! Nina bahati sikuwahi kupotea Dar!!! Shuka na train, kamata gari ya Mwenge enzi hizo Mwenge-Stesheni!!! Dah!! Unakariri mabasi ya UDA unapanda kwa utaratibu maalum, no kupigania maana Dar yenyewe popolation ilikuwa ndogo kabisa!!!
 
Heshima mbele: Hii hainihusu mimi....
Ole wake atakayenihusisha na habari hii..............LOL

mbona mapovuuuuuuu!mbona mapovu nauliza?watu tumenyamaza kmya we unaanza kujihami!
mi najua ni yule yukle jirani anayekuomba ushauri!ahahhahahhahahha Mtambuzi we mbaya we mbayaaaaaa wewe we mbayaaaaaaaaaah!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaaaaa Mtambuzi ndio zako kututishia kila unaposimulia visa vyako! Inakuhusu sana!
Ila duh! Inaonekana huyo dada alikukera kweli. Eti amejichubua na uso wake kufanana kama pupa wa kipepeo!
mwaJ umemgundua enh!si wala hatumuogopi!sasa kama kweli alifanya mbofu mbofu ofsini kwa watu tusimcheke!LOL
mi hata simuogopi bana!LIWALO NA LIWE source PM wenu!
 
Last edited by a moderator:
Du, mkwara mzito huu!! na mimi nilitaka nikushukie lakini kwa mkwara huu sithubutu!!

we mshukie tuuu!si unaona mi na shosti wangu mwaJ tulivomwaga unga we tiririka tu!tutakutetea mpka mwisho tunajua mizungu yake yote wala hana ujanja hapa,tukiona tunazidiwa sana tunamwitia Madame B
 
Last edited by a moderator:
mwaJ umemgundua enh!si wala hatumuogopi!sasa kama kweli alifanya mbofu mbofu ofsini kwa watu tusimcheke!LOL
mi hata simuogopi bana!LIWALO NA LIWE source PM wenu!

Anachekesha kweli eti "kinu". Kila nikiona "Mtambuzi" lazima ntaikumbuka hii story! Na hata nikipishana na aliyejichubua ntakumbuka "pupa la kipepeo". Lol!
 
we mshukie tuuu!si unaona mi na shosti wangu mwaJ tulivomwaga unga we tiririka tu!tutakutetea mpka mwisho tunajua mizungu yake yote wala hana ujanja hapa,tukiona tunazidiwa sana tunamwitia Madame B

Bila kuwasahau bestito cacico na Ciello. Hapo sijawaongeza na kikosi chetu cha mizinga. Mtambuzi malizia story hiyo! Ilikuaje boss/mzee alipokuja? Je, ulipata kazi kwenye hiyo ofisi? Vipi mdada hajakukumbushia habari ya "kinu"? Ha ha haaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ya kuacha vyoo bila kuondoa mzigo ni kawaida sana kwa nyuka (new comers, a.k.a njuka)!!

Ila hayo mambo ya kupanda juu ya vyoo ni common hata kwa watu wengine waliozaliwa town.

Kuna jamaa yetu hadi anafika college alikuwa anapanda juu eti kukwepa infections...

Huyo secretary ni mshamba tu kama washamba wengine.....amesahau kuwa hata maeneo mengi ya Dar vyoo vya maji wanaviona kwenye movies (tena wakiangalia TV kwa majirani)....

Leo Clouds Radio wamesema kuwa hata India watu wengi hawana vyoo....Nadhani hata huyo dada alikutana na choo cha namna hiyo chuo au hapo kazini.
 
ram unashangaa mwaka 1990 juzi tu angekitumia wapi,
tena kule milimani hadi leo tunashimba kashimo na kale kajembe
then unajihelp baada ya hapo unafukia kashimo kako unaondoka.

1990, Mtambuzi ulikuwa hujawahi kutumia choo cha kukaa na kuflash?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Yah! Ni kweliMamndenyi, kwa vijini hii ni issue ya kawaida sana
Unajua mi namuonaga Mtambuzi mjanja sana kumbe 90s ndo kaingia town

ram unashangaa mwaka 1990 juzi tu angekitumia wapi,
tena kule milimani hadi leo tunashimba kashimo na kale kajembe
then unajihelp baada ya hapo unafukia kashimo kako unaondoka.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi atakuwa alilelewa na bibi,
ujanja kaupata majuzi juzi baada ya
kumpata mama Ngina.

Yah! Ni kweliMamndenyi, kwa vijini hii ni issue ya kawaida sana
Unajua mi namuonaga Mtambuzi mjanja sana kumbe 90s ndo kaingia town
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom