Sitakaa nimsahau mwanamke yule fedhuli….!

Ila hii inatufundisha on a serious note kutokuwa fedhuli kwa watu wasiojua. Hata kama umezaliwa nyumba yenye tv ama choo cha kulala, you had to do potty training kwanza na wewe pia uliiogopa na kuikimbia. Tusiwatende wenzetu tusivyopenda kutendewa.
 
mwaJ umemgundua enh!si wala hatumuogopi!sasa kama kweli alifanya mbofu mbofu ofsini kwa watu tusimcheke!LOL
mi hata simuogopi bana!LIWALO NA LIWE source PM wenu!
Yaani nimecheka mpaka basi, kumbe huyu mzee alikuwa na vitimbi sana enzi zake, nasikie wewe ni mmoja wa wajukuu zake.
 
Yaani nimecheka mpaka basi, kumbe huyu mzee alikuwa na vitimbi sana enzi zake, nasikie wewe ni mmoja wa wajukuu zake.
Mtambuzi awe na mjukuu kama mimi si miwani angevalia kwenye meno!ahahahhahahhahaa we acha kabisa huyu mzee hafai hata kaidgo yani ni kababuuu lakini mambo yake!lol!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi awe na mjukuu kama mimi si miwani angevalia kwenye meno!ahahahhahahhahaa we acha kabisa huyu mzee hafai hata kaidgo yani ni kababuuu lakini mambo yake!lol!
Nimeingia job nikiwa ako na mood, lakini baada ya kusoma hiki kisa cha huyu mzee nimecheka mpaka basi, nimejikuta nikianza siku yangu vizuri kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom