Sitaisahau Tabora

Sitaisahau Tabora

Hivi Tabora kuna kabila jingine zaidi ya wanyamwezi.....

Kama hakuna basi wanyamwezi ndo kabila pekee lenye sifa kuu ya.....

Kuhimili mizigo mizito....
Neema ya karanga na asali kwa wingi....
Tu watamu....
Na mengine mengi tuu ila la uchawi wanasingizia ili kutuharibia.

Tabia ni ya mtu na si kabila.

Kasinde aka mnyamwezi chotara.
 
hiii story imeenda vizuri ila kuna sehemu imekosewa kidogo. umeenda kwenye key moja kwa moja ungeweka vionjoo maana ni sehemu tamu sana hiii,


Usiku baada ya kuoga niliipaka hiyo dawa machoni tulipoenda kulala ghafla nilishangaa kumwona mke wangu akigeuka na kuwa joka kubwa na la kutisha pale kitandani.
Kisha ghafla tena akarudi ktk umbo lake la awali kama binadamu na
akavaa kaniki nyeusi huku lile joka likiendelea kuwepo kitandani pale.
 
Mwishoni itakuja kama ya yule jamaa aliyekutana na jini na kuomba hela ya maji ya wapiga maombi. Nawewe sijui utaomba hela ya kumpa mchungaji au mganga anayeshughulikia uchawi wa mkeo!!!!!!

Barafu la moto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom