Sitaisahau siku ya interview

Oooh kumbe mdada wa ushuani kule mtanda ..
Ile mitaa tulikuwa hatugusagi kabisa sisi[emoji119] [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


""Tulimaliza, na mwisho tuliagana.
Jemmy aliitwa kuanza kazi mimi nikabaki na GPA Yangu 32.

Kwa sasa Jemmy yupo Kwa Tirampu, Mimi nipo kwa Bibi Nyau""

Hizi paragraph mbili zimefanya niwe na furaha kubwa kwa siku ya leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
James Comey Bhana! Kwa nini lakini Wana JF wenzangu mnanifanyia hivi
Philipo D. Ruzige
Mkuu anagalia paragraph hiyo ulivyoandika ukilinganisha na wigi la Gigi mane. Huo ni ubunifu mzuri. Nilisomaga kitabu cha Beautiful ones kama sikosei yaani kuna sehemu jamaa anaelezea mazingira ya ofisi kuzidi page moja. Huo ndo naita kucheza n lugha nilivyoona ume apply hapo. Na huo nafkiri ndo uandishi mzuri wa story unless kila mtu angeqeza kuwa mwandishi wa story. Kwani unafikri matukio hayawatokei wengine? Nafkiri huo uwezo wa kucheza na lugha ndo ufundi hasa ktk uandishi wa story.
 


Yeah mkuu ni kweli
 
Asee wenye boom zenu mlikuwa mnatusumbua... Wakati mnaenda bash mbalamwezi beach mi naelekea kwa Pasco pale nyuma ya cafeteria ya COET kupata Rb kubwa mixa ukoko, jamaa katusev sana yule anyways kaza mkuu utatoboa, life
haina guarantee.

Mtunzi mzuri, bila shaka ulisoma FPA mkuu[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hahaahaa!! Mkuu pole sana kwa kula ukoko kipindi kile. Sasa hivi ni zamu yangu. Maisha ni kwa zamu.

Ahsante sana kwa kunipa sifa ya utunzi
 
Mkuu sio tuu Bumu, chochote kihusucho pesa wekeza. Mimi niliwekeza kwa kina Miss Udsm
Naamini waliopo kwenye viwanja hivyo wamekusoma.
Nakupongeza kwa kujitoa mhanga kuwafudnisha
wengine wasiwekeze wasikotegemea kuvuna.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…