grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,662
Sana tu mkuu [emoji1] hii jamaa wakiiona wanaibeba kama ilivyo ila watakachobadili ni jina tuWanaibaga Stori za JF nini?
Sana tu mkuu [emoji1] hii jamaa wakiiona wanaibeba kama ilivyo ila watakachobadili ni jina tuWanaibaga Stori za JF nini?
Hali ya hewa hainiruhusu kuwa na Amani
[emoji4] [emoji4] ww unaonajeAu wewe ndiwe jemmy Mkuu?
Mkuu kwa ukongwe wote wa JF-Expert Member, hujaweza kuizoea JF.....Acheni uzwazwa kama ccm , kaanzisheni uzi wewe au mwende pm. Majiwe nyie
Mku umeandika vizuri sana hasa kwenye mifano yako nimependa sana tena sana, lakini unekosea kwa mfano wa jiwe, kuwa fisadi anayenyemelea mfuko wa jiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jiwe naye ndiye fisadi kuu (1.5tr)
GPA kitu gani Bhana, watu tumesota vya kutosha
Nakuelewa Mkuu, Yaan Jemmy anapigwa na upepo huko wa kitropiko mimi ndio nahangaika tuu huku na vumbi la Tandale