Elections 2015 Sitagombea ubunge ng'oooo..nautaka urais tu!

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
 
------- kabisa wewe yaani hii inaweza kuwa breaking new.. wewe sukuma la wapi jinga hivi kama Shibuda tu....
 
Mods,

Hemu futeni huu upuuzi, hivi huyu mwendawazimu anafanya hili jukwaa ni la wehu kama yeye?

Who cares kama utagombea urais au udiwani?, nenda kamueleze mamaako habari za kipum.bavu hizi.
 
Kuna watu wana ndoto za alinacha hapa duniani. Mda mwingine kukaa kimya inakuletea heshima sana na hata kama una upumbafu watu awataweza kuubaini.
 
Mkuu Deogratius Kisandu kugombea urais ni haki yako ingawa itakubidi haki hiyo kuipata kupia chama chako cha NCCR labda kama katiba mpya itabadilisha na kuruhusu mgombea binafsi.

Ikiwa kweli umepanga kugombea urais kupitia NCCR Mageuzi nilitegemea ungekuwa umeshaanza kukiimarisha chama chako hasa ngazi ya shina,ni bahati mbaya mpaka leo sijasikia NCCR ikifanya mikutano kwaajili ya kukiimarisha chama kama wafanyafavyo CDM.Ni wazi wewe ni aina ya wanasiasa wasiokuwa na mikakati ya ushindi badala yake unapendelea ushiriki kama timu ya Taifa Stars.

kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaa lako hilo kama si lako la jirani yako CUF,ikulu haipigiw debe mitandaoni njoo CHADEMA,
 
wewe Kisandu ugombee urais wa nchi hii ? Kwanza naona aibu sana kusoma habari hii ! Hivi ni nani ameufanya urais wa Tanzania kuwa kama kichwa cha mwendawazimu kiasi hiki ?
 
Kuna watu wana ndoto za alinacha hapa duniani. Mda mwingine kukaa kimya inakuletea heshima sana na hata kama una upumbafu watu awataweza kuubaini.

Kama pinda angekaa kimya tungejulia wapi kuwa ni --------...
 
Mmmhhhh jamani kuna watu wameshalewa saa hizi na mwezi mtukufu huu??? Naogopa
 
Mods,

Hemu futeni huu upuuzi, hivi huyu mwendawazimu anafanya hili jukwaa ni la wehu kama yeye?

Who cares kama utagombea urais au udiwani?, nenda kamueleze mamaako habari za kipum.bavu hizi.

Mkuu, mbona umefura ivo?
 
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.

matumizi ya pombe za kwenye pakiti (viroba) ni hatari kwa akili yako fupi
 
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
Wee chizi nini?
 
Futa ujinga wa mjinga huyu. Nani akupe hata kitongoji wewe? Labda urais wa ikulu ya milembe. Kama ni milembe tu, utapita bila kupingwa maana wewe ni zaidi ya chizi.
 
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.

-Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! You know. This is super sana. My huts off to you Sir. Umenifurahisha sana kama vipi. Mh. Kama vipi naona unatumia haki yako ya kidemokrasia na kikatiba ila safari yako ya magogoni bado sana, you know?

-Kwa bahati mbaya, urais sasa umekuwa ni mchezo wa kuigizwa hata Mbebs wa Ukwee Wema sepetu naye atatangaza nia ya kugombea urais. Kama vipi sitaishia kuwashukia mamburulaz bin majangaz wanajaribu kulidhalilisha taasisi ya urais.

-Umenikuna sana, ila karibu sana chqama dume. hasa kwenye jumuiya ya wazazi ambako tunaendelea kupsasua anga na kuleta neema kwa watanzania
 
Back
Top Bottom