Sitaangalia chama cha siasa tena bali nitaangalia kiongozi; Mtizamo wangu

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
528
82
Habari wana jamvi naamini wote wazima,

Naanza kwa kusema kuanzia leo mimi Yusuph Issa naapa mbele ya jukwaa hili siasa kwamba nitaangalia kiongozi na sio chama kutoka na sababu zifuatazo:

1:vyama vingi vya siasa vipo kwa ajili ya maslahi na sio siasa
2:viongozi wengi ni wanafki
3:matusi na wengi wao hawana uweledi
4:starehe na matanuzi
5:tamaa za kuongoza nchi ili kuongeza wake...........!!!!!
 
Back
Top Bottom