Sitaandamana D9. Wewe je?

Media za Tanzania hawakutimiza wajibu wao kuripoti matukio yasiyohusiana na uchaguzi na Vurugu zacha

  • Uzalendo

    Votes: 2 14.3%
  • Kukosa uadilifu

    Votes: 7 50.0%
  • Walipewa rushwa

    Votes: 10 71.4%

  • Total voters
    14
Nishatayarisha mabango ya D9, naandamana SI kwa ajili yangu balu. Kwa vizazi vinavyokuja
 
Nimeludia kuangalia picha za vijana wangu , mala mbili, 9d siwezi kubaki ndani, acha tuviziane huko huko ,atakae muwahi mwenzake sawa, maana naona vita imetangazwa rasmi kwamba wanatusubili sasa pia tunawasubili tunakuja
Woyooo woyooo mgegeja za kichwa tu saahv si umeona chopa
 
Nimetumia haki yangu kikatiba kusema sitaandamana. Iweje unamiwaza na digrii yangu ya mchongo GPA 1.8 toka jalalani?
 
Msiandamane maana kiukweli kabisa hii nchi hamuwezi ichukua .Subirieni 2030.
Umeshawahi kuzuia mavi yakiwa yamekubana nusu kujinyea? Au umewahi kuizuia mvua ambayo imeamua kunyesha umewahi kuizuia isinyeshe? Umewahi kuzuia ushuzi uliokubana sana unauzuia ushuzi usikutoke unapata faida gani na ushuzi?
 
Nimeludia kuangalia picha za vijana wangu , mala mbili, 9d siwezi kubaki ndani, acha tuviziane huko huko ,atakae muwahi mwenzake sawa, maana naona vita imetangazwa rasmi kwamba wanatusubili sasa pia tunawasubili tunakuja
Sahihi kabisa
Ni mwendo wa katoliki vs muslim tembeza panga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…