Sista duu apata aibu ya mwaka.....................

Sista duu apata aibu ya mwaka.....................

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,374
Jamaaa baada ya shughuli za kutwa kaingia mahala akiwa na mpenzi wake wapete mbili tatu. Jamaa kamwita mhudumu na kwa kuwa hakuwa akijisikia kunywa akaamua atacheza pool tu.Mambo yakawa hivi

Jamaa: Naomba niletee token
Sista duu:Namimi namafua leo sitaki vitu vya baridi niletee token ya moto

Watu wacha waangue kicheko hapo.
 
Peleka kule jokes/ udaku mkuu, hii haina ukweli ni "udaku" tu
 
weka picha tuone
tok.jpghuyo hapooooo
 
Peleka kule jokes/ udaku mkuu, hii haina ukweli ni "udaku" tu

ongeza kiloba,ndovu hazitoshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom