Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga. |
Eh kinadada tujifunze kuvaa vzuri..cpat pcha hilo soo mtu ukikutana nalo
iliwai kumtokea sista. ilikuwa siku 2 kabla tumetoka state ambapo kule ilikuwa baridi.
tumefika dar kukawa na joto kali. tulienda kariakoo kufanya shopping alivaa kibukta kifupi sana sana sana na mapaja yake yalivyo meupe kama papai au embe dodo vijana wa mjini mate yakawatoka.
sababu ya joto kali tumefika kariakoo katikati vijana wa kihuni wakataka wamvue bukta tukazama kwenye duka mpaka askari walikuja kutueskoti.
ila siwez sahau huo umati wa watu. watanzania walinishangaza sana kwa uchu wa kutaka kubaka
Mwambie sista akome akija bongo aishi kibongo bongo na akirudi state aishi kistate state
na joto la dar avae nguo gani?
wengine wanavaaje?na joto la dar avae nguo gani?
wengine wanavaaje?
Eh kinadada tujifunze kuvaa vzuri..cpat pcha hilo soo mtu ukikutana nalo