Sisimizi akihadithia yaliyomkuta.

Sisimizi akihadithia yaliyomkuta.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Sisimizi mmoja baada ya kupotezana na wenzie kwa muda mrefu,aliamua kuwaeleze alikopotelea."Basi bwana niliingia katika shimo moja lenye unyevunyevu na fukuto la joto kali,mara ghafla nyoka akaingia ndani ya shimo na kuanza kunitafuta kwa hasira,akaingia na kutoka zaidi ya mara 50 lakini hakunipata,kwa hasira za kunikosa akaamua kutema mate yake ndani ya shimo kisha akaondoka zake".Mi sijui huyu sisimizi aliingia shimo gani na alikumbana na nyoka wa aina gani?
 
Kama huyu sisimizi kaweza kusema..ni issue ya kumuuliza tena mkuu..
 
Haaaa haaaa haaaa!nyoka kaingia shimoni mara 50 na kutema mate lol!
 
Sisimizi mmoja baada ya kupotezana na wenzie kwa muda mrefu,aliamua kuwaeleze alikopotelea."Basi bwana niliingia katika shimo moja lenye unyevunyevu na fukuto la joto kali,mara ghafla nyoka akaingia ndani ya shimo na kuanza kunitafuta kwa hasira,akaingia na kutoka zaidi ya mara 50 lakini hakunipata,kwa hasira za kunikosa akaamua kutema mate yake ndani ya shimo kisha akaondoka zake".Mi sijui huyu sisimizi aliingia shimo gani na alikumbana na nyoka wa aina gani?

Mimi nimeokoka, Napita!!!!!
 
shimo la dhambi
 
Duh!sasa hilo shimo nalo halifunikwi,si watoto watadumbukia sasa....lol
 
Hapana watoto wadogo huwa wanacheza kwenye mashimo madogo japo kuna wengine wajeuri wanacheza kwenye mashimo makubwa.
 
mkuu ungejaribu kumuuliza huyo sisimizi utuletee jibu hapa, si wanaongea bana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom