Sisikii

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Padre akiuliza umati kabla ya kufungisha ndoa kanisani "kuna yeyote mwenye kipingamizi ndoa hii isifungwe?"

Sauti ikasikika nyuma "padre subiri kidogo." Kisha jamaa akasogea mbele mbele.
Padre: Je, unapingamizi lolote ndugu?
Jamaa: Hapana kule nyuma nlikua sikusikii vizuri.
 
yaani ningekuwa ni mimi padre namuwasha bonge la kofi huyu jamaa
 
Hapo jasho jembamba lilishamtoka bwana harusi wa watu kumbe jamaa na matatizo yake ya masikio
halafu tatizo alilenga mda mwafaka
 
Jamaa amezidisha utani mno hapo angeweza kumfanya mtu kuzimia
 
Bibi harusi sijui alikuwa kwenye hali gani.~~~
 
Hapo jasho jembamba lilishamtoka bwana harusi wa watu kumbe jamaa na matatizo yake ya masikio
.Hata Bibi Arusi..............kwani unadhani sisi wanawake hatuna skendo?
 
Bibi harusi na bwana harusi kaushuzi kembamba fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!
 
Mijitu mingine kuwa wenzao presha za bure tu, kama haskii alijuaje kuwa padre kauliza kitu?, mie ningempa ndosi moja la uso huyo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…