Sisi wenye 'Testasterone' nyingi tunaonekana wahuni, mtusamehe bure

Mdukuzii

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
2,555
6,382
Unakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini. Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi.

Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe. Kama una mpenzi mmoja au unakata mwezi bila kupeleka moto usijisifu bali kacheki hormone ya testasterone
 
Unakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini.
Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi.
Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe .
Kama una mpenzi mmoja au unakata mwezi bila kupeleka moto usijisifu bali kacheki hormone ya testasterone
🤏wonders shall ever end
 
Wana Act umentali nilioufanya sekondari (Ilikuwa ni mstari wa Geez Mabovu nafikiri, kwenye wimbo wa dakika sifuri)
 
Sema una sexual drive kubwa....acha kuaminisha watu uongo.....sexual drive ni genetic..unatoka kabila lenye sexual drive kubwa

Kuna kaukweli hapo
 
Acha kuambatanisha Sexual drive na high testosteron level

Nyege zinakusuma vibaya dingi

9F23E9BD-F512-440F-9E5C-C9051C2CFF6A.png
 
Unakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini.

Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi.

Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe.

Kama una mpenzi mmoja au unakata mwezi bila kupeleka moto usijisifu bali kacheki hormone ya testasterone
We ungesema tu hivi "Sisi malayer watuache tufanye umalayer" usizunguke sana brother..... Lkn sio uje kweny jukwaa la afya kuomba dawa za asil za kisonono na kaswende
 
We ungesema tu hivi "Sisi malayer watuache tufanye umalayer" usizunguke sana brother..... Lkn sio uje kweny jukwaa la afya kuomba dawa za asil za kisonono na kaswende
Utafanya umalayer wakati hauna nguvu wala hamu iliyopitiliza ya kupeleka moto
 
Utafanya umalayer wakati hauna nguvu wala hamu iliyopitiliza ya kupeleka moto
Ww si ndo huko na hyo hamu hata ukiwa kanisani au msikitini, uwe umesimama uwe umekaa, uwe wapi wapi...... Basi huo tunauita umalayer
 
Back
Top Bottom