Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,548
Unafiki wetu uko katika matukio, wapo wachache wanaohatarisha amani tumekuwa tukiwalaani sana kwa kuhatarisha amani lakini Polisi wakifanya kazi yao tunageuka na kuanza kulaani Polisi kwa kulinda amani yao.
Mahubiri wanayofanya viongozi wa dini hapa nchini ambayo yamekuwa ni chanzo cha kuvurika kwa amani raia, serikali wamekuwa wakikaa kimya kusubiri upepo upite. Tuwaache Polisi wafanye kazi yao.
Hata leo akitokea yeyote anayejaribu kuhatarisha amani kamwe tusimuonee huruma. Jana niliuliza kuhusu tukio la Ponda kupigwa risasi kwamba je alishapata taarifa ajisalimishe???
Hata hivyo kutoa mahubiri ya kuleta chuki za kidini hakuwezi kukumbatiwa tuache serikali idhibiti hali kama hiyo.
Hapa nadhani ndipo mahala ambapo sisi watanzania inabidi tuwe kitu kimoja badala ya kujifanya kuwa pande mbili.
Kwanza mtu mwenyewe si raia wa Tanzania tena akipona inabidi ashitakiwe kama mhamiaji haramu na kwanini hajaondoka hapa nchini kutii amri ya Rais wetu Mh Dr. Jakaya Mrisho Kikwete???
Ponda rudi kwenu Burundi utuachie Tanzania yetu yenye amani. Urakodze chane!!!