Chilipamwao
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 523
- 128
Naunga mkono hoja hii, niliposikia kapigwa risasi na nilipopata uzushi wa Zitto Kuwa Ponda amekufa nilishangilia nikiamini dudu hili limefika mwisho wa uovu wake, Kuwa bahati mbaya hakufa. Kwa yoyote asiyependa chuki mbaya ya udini aliyoileta Ponda ni wazi atafurahia Jambo hili, Polisi japo siwapendi lakini kwa hili niko pamoja nao.