Sisi Watanzania ni wanafiki sana

Sisi Watanzania ni wanafiki sana

Ponda is not the President of the United Republic of Tanzania, he is just a foreigner from Burundi. Several times he has been warned of his hatred preachings but he ignored. Now you are sympathizing, where were you to make him shut up his big mouth!!!???
 
cjapenda ulivyoandika kama vile ni mnyama amepigwa risasi vile nachojua mimi ni kwel Ponda kuna vitu ambavyo anaongelea ni vya kwel ila kuna vingine c vya kwel. ningeshauri serikali iunde baraza la dini la kitaifa wajumbe watoke katka Uislam na Ukristo na dini nyingine pia wao wawe ni walinzi na wasemaji wa dini zao serikalin na washaur pia, na pia nachoamin mimi pia ni kuwa ili kuondoa mpasuko wa kidin vyama vya Cuf na Chadema wangekaa kwa pamoja kwaajili ya maslah mapana ya nchi yetu. lakn kejel dharau na mambo kama hayo hayasaidii chochote
 
Ponda is not the President of the United Republic of Tanzania, he is just a foreigner from Burundi. Several times he has been warned of his hatred preachings but he ignored. Now you are sympathizing, where were you to make him shut up his big mouth!!!???

WIth all due respects, police/TISS and all security entities we have in the country, do we need a gun shooting publically? do you mean that was the best alternative you got in all capacity of a police?

On my word there were and still a thousands best ways to deal with Sheikh Ponda, one you mentioned repatriate, jail, silent death ( which on it carries 101 ways!!). what people complaining is the way shooting a gun directly (as well as withiot target) in the public. No human being is ready to see a bloodflow during death of someone.
0.5cnts
SP
 
Naona usalama wa taifa wanajilaumu kweli kwa kurudia kosa lilelile la kufanya makosa kwenye kazi yao'
 
Polisi wanapaswa kujitathimini upya,haya matukio yatakuja kuleta machafuko hivi kama masihara,kuna mbinu za kumkamata mtu kama yule sio risasi,leo kapigwa ponda kesho atapigwa babako je utakubali!!au mnashabikia ujinga mtupu,polisi tumia weledi sio mabomu na risasi
 
Kwa kuwa wewe una nufaika na uchochezi wa Ponda kwenye mihadhara yake ya chuki za kidini nadhani huwa unamshikia kanzu ndiyo maana unamtetea. Makanisa yamechomwa moto kwasababu ya domo lake la uchochezi kwanza kwanini jama alitetemeka??? Raia wa nje anakuja kuharibu amani ya nchi nyingine halafu tunakaa chini kushangaa shangaa tu. Siku yakitokea makubwa wewe utaanza kuwalaani Polisi kutochukua hatua. Nawapongeza Polisi kujitahidi kusimamia amani kwa shida kiasi hicho. Huyu jamaa kama wewe ungekuwa unamsikiliza wakati akitoa mihadhara misikitini unaweza kudhani ni Rais wa nchi jinsi alivyohuru kutukana na kukejeli serikali yetu. Arudi kwao akafanye hivyo siyo hapa Tanzania.
 
Unafiki wetu uko katika matukio, wapo wachache wanaohatarisha amani tumekuwa tukiwalaani sana kwa kuhatarisha amani lakini Polisi wakifanya kazi yao tunageuka na kuanza kulaani Polisi kwa kulinda amani yao.

Mahubiri wanayofanya viongozi wa dini hapa nchini ambayo yamekuwa ni chanzo cha kuvurika kwa amani raia, serikali wamekuwa wakikaa kimya kusubiri upepo upite. Tuwaache Polisi wafanye kazi yao.

Hata leo akitokea yeyote anayejaribu kuhatarisha amani kamwe tusimuonee huruma. Jana niliuliza kuhusu tukio la Ponda kupigwa risasi kwamba je alishapata taarifa ajisalimishe???

Hata hivyo kutoa mahubiri ya kuleta chuki za kidini hakuwezi kukumbatiwa tuache serikali idhibiti hali kama hiyo.

Hapa nadhani ndipo mahala ambapo sisi watanzania inabidi tuwe kitu kimoja badala ya kujifanya kuwa pande mbili.

Kwanza mtu mwenyewe si raia wa Tanzania tena akipona inabidi ashitakiwe kama mhamiaji haramu na kwanini hajaondoka hapa nchini kutii amri ya Rais wetu Mh Dr. Jakaya Mrisho Kikwete???

Ponda rudi kwenu Burundi utuachie Tanzania yetu yenye amani. Urakodze chane!!!
Mkuu nimekupa like yangu sitaki kusema sana.
 
mleta mada nadhani hujitambui. Mtu akihatarisha amani ya nchi imeandikwa apigwe risasi?
 
Sio watanzania wote ni wanafiki. Ni wachache, ambao wanachagua matukio. Polisi wakipiga waleta fujo wa CDU, wanalaani vikali, ila wakiwa WAISLAMU basi ni vizuri tu polisi wakipiga risasi! Huu ndio UNAFIKI mkubwa na hauwezi kuleta ukombozi wa nchi.! kupiga Risasi raia sio kitu cha kutetea, bila kujali aliyepigwa ni Daudi Mwangosi au Issa Ponda!
 
Ponda is not the President of the United Republic of Tanzania, he is just a foreigner from Burundi. Several times he has been warned of his hatred preachings but he ignored. Now you are sympathizing, where were you to make him shut up his big mouth!!!???
If you can write good English like this, why don't you spend little time to verify your accusation? Go get those what you call "hatred preaching videos/tapes" listen very carefully, and highlight any part that you think is against Tanganyika constitution. After you finish your research, bring here all of your findings and we will discuss.
 
dada nakuunga mkono maana binadamu tuliowengi tuna akili za mtungi kukojoa ulipokaa ukifikiri unamkomoa mwingine. amani yetu inatakiwa ilindwe kwa gharama zote. mimi nafikiri serikali imelea upuuzi huu mda mrefu. Kwenye nyuma zetu za ibada watu wanaeneza fitina eti sisi dini yetu tunaonewa, vyombo vya habari vyenye mitizamo ya kidini vinaeneza chuki waziwazi tunaomba serikali iweke mwongozo kwa majumba majumba ya ibada nini kinaruhusiwa kuzungumzwa katika majumba ya ibada, serikali tungeni sharia ya kudhibiti vyombo vya habari inayobana propaganda za dini, kabila na mengine hapo amani yetu tutailinda na mshughulikieni mmojammoja anayejaribu kuchafua hali ya hewa
 
Kumshughulikia anashughulikiwa mtu yeyeto....LAKINI sio kwa njia ile.....mtu anashughulukiwa kisheria.....hapa nakumbuka case ya zimmerman na trevor martin......ila ipo siku atapigwa risasi baba yako au ndugu yako hadharani ndo utajua polisi walichokifanya....
 
Niko nawe mkuu.....hatuwezi ruhusu hili..... afungwe jela kwa makosa yake. Inaonekana polisi ndo walifanya fujo wakati wanamkamata. Mbinu mbadala ni muhim na hata kama ingeashindikana na kuwalazimu basi risasi ya mguu, huu ndo utawala wa sheria lakini KIFUANI???hapana waTz.....
 
alikuwa gelezani kwanini walimuachia

Tunaposema serikali yetu ni dhaifu huwa hamuamini? Mnataka dalili gani zaidi ya upungufu unaoonekana katika maamuzi muhimu kwenye mambo yanayohusu taifa!
 
WIth all due respects, police/TISS and all security entities we have in the country, do we need a gun shooting publically? do you mean that was the best alternative you got in all capacity of a police?

On my word there were and still a thousands best ways to deal with Sheikh Ponda, one you mentioned repatriate, jail, silent death ( which on it carries 101 ways!!). what people complaining is the way shooting a gun directly (as well as withiot target) in the public. No human being is ready to see a bloodflow during death of someone.
0.5cnts
SP

So you are condoning shooting somebody so long as it is done in secrecy? I do not like Ponda any bit, but I am totally against shooting him for whatever reason. Why not simply arrest him and take him to court? Afterall his conditional sentencing is still valid. It is a matter of putting him where he belongs - in jail. After the jail term, kick him out of the country if it can be proved beyond any reasonable doubt that he is a foreigner. After Ponda the next should be Bassaleh. He should go back to Zanzibar or Pemba.
 
Ponda is not the President of the United Republic of Tanzania, he is just a foreigner from Burundi. Several times he has been warned of his hatred preachings but he ignored. Now you are sympathizing, where were you to make him shut up his big mouth!!!???

Aisey, nilidhani kuandika kiingereza chenye kusomeka kina uhusiano wa moja kwa moja na uelewa wa mambo kutokana na nature ya elimu ya Tanzania ikiwa pamoja na kufanya tafiti na uchambuzi, kumbe nilikuwa najidanganya. Duuh, nchi yangu Tanzania imekosa nini kwa Muumba hata ikawa na watu wa namna yetu.
 
Kabla ya ponda kuondoka. Wizara ya mambo ya ndani na rais na askar uhamiaj pa1 na usalama wa taifa wajiuzulu
 
Unafiki wetu uko katika matukio, wapo wachache wanaohatarisha amani tumekuwa tukiwalaani sana kwa kuhatarisha amani lakini Polisi wakifanya kazi yao tunageuka na kuanza kulaani Polisi kwa kulinda amani yao.

Mahubiri wanayofanya viongozi wa dini hapa nchini ambayo yamekuwa ni chanzo cha kuvurika kwa amani raia, serikali wamekuwa wakikaa kimya kusubiri upepo upite. Tuwaache Polisi wafanye kazi yao.

Hata leo akitokea yeyote anayejaribu kuhatarisha amani kamwe tusimuonee huruma. Jana niliuliza kuhusu tukio la Ponda kupigwa risasi kwamba je alishapata taarifa ajisalimishe???

Hata hivyo kutoa mahubiri ya kuleta chuki za kidini hakuwezi kukumbatiwa tuache serikali idhibiti hali kama hiyo.

Hapa nadhani ndipo mahala ambapo sisi watanzania inabidi tuwe kitu kimoja badala ya kujifanya kuwa pande mbili.

Kwanza mtu mwenyewe si raia wa Tanzania tena akipona inabidi ashitakiwe kama mhamiaji haramu na kwanini hajaondoka hapa nchini kutii amri ya Rais wetu Mh Dr. Jakaya Mrisho Kikwete???

Ponda rudi kwenu Burundi utuachie Tanzania yetu yenye amani. Urakodze chane!!!

Hivi Watanzania tunajiuliza ni msingi ipi ilitumika kumpa adhabu ya "kifungo cha nje"
How come?
KUna makubwa zaidi ya sisi tunavyojua.
 
Tunaposema serikali yetu ni dhaifu huwa hamuamini? Mnataka dalili gani zaidi ya upungufu unaoonekana katika maamuzi muhimu kwenye mambo yanayohusu taifa!

Ana kifungo cha nje!

Mahoka ya karne
 
Back
Top Bottom