Sisi Watanzania ni wanafiki sana

Sisi Watanzania ni wanafiki sana

Usiseme unafiki seme waoga na tuna ubinafsi tu.....tunaogapa impact ya kukosoa walio shika mtuti wa bunduki.......chochote kinawezekana kufanwya kwako ukawa mfano wakuingwa kwa wengine.....kama uamini piga simu ubiligiji ulizie bado ya hilo tukio, watu wanahama chama kuunga jihudi za mueshimiwa.......
Tena hawa wahamaji Nakwambia 2020 watakalishwa benchi na chama walichoamia sasa hivi wanahama na kugombea bila kupitishwa wanadania mwenyeji wanawakubali kumbe ni mbinu ya kuwatawala kiwepesi

Natabili
 
The problem is not us. We would like to criticize them but they do not buy that shit let alone tolerate it.

If you dare speak your mind, you'll end up disappearing; with the help of the anonymous.
Are you aware with say

" the world is ruined not by bad people, but by good people who decided to keep quiet "
 
Mkuu .....bwana mkubwa anategeneza wa fuasi wake ndani ya chama atawapigania na wenyewe watampigania kwa sababu haminiki ndani ya chama kwa wenye chama au wakongwe wa chama. ..kwahiyo watapata nafasi as long as buana mkubwa yupo
Tena hawa wahamaji Nakwambia 2020 watakalishwa benchi na chama walichoamia sasa hivi wanahama na kugombea bila kupitishwa wanadania mwenyeji wanawakubali kumbe ni mbinu ya kuwatawala kiwepesi

Natabili
 
Kweli hata mimi nimeamini watanzania wanafiki,maana polisi walifanya kazi yao ya kulinda amani ya nchi kwa kumuua DAUDI MWangosi ambaye alihatarisha amani ya nchi,aliuawa kijana kwa kupigwa risasi ARusha kwenye mkutano wa cdm,na yule muuza magazeti aliyeuawa morogoro kwenye maandano ya cdm, nakushukuru kiongozi wetu wa unafiki kwa kuleta hii mada.

hii thread inanuka harufu ya udini ana lolote huyu mtoa mada
 
Kwanza mtu mwenyewe si raia wa Tanzania tena akipona inabidi ashitakiwe kama mhamiaji haramu na kwanini hajaondoka hapa nchini kutii amri ya Rais wetu Mh Dr. Jakaya Mrisho Kikwete???

Huwa tunawapa nyadhifa za nini kama siyo raia
 
Usiseme unafiki seme waoga na tuna ubinafsi tu.....tunaogapa impact ya kukosoa walio shika mtuti wa bunduki.......chochote kinawezekana kufanwya kwako ukawa mfano wakuingwa kwa wengine.....kama uamini piga simu ubiligiji ulizie bado ya hilo tukio, watu wanahama chama kuunga jihudi za mueshimiwa.......
Ni kweli
burhani_magandila-20181014-0001.jpg
 
Back
Top Bottom