Kumbe na nyie mnajijua!?
2017, nlipata kudate na hawa mademu wa mtandaon alikua kahama. sasa mwezi wa 9 nkapata safari ya kikazi kwenda kibondo, ikabidi nilale kahama ili nionane na mamsapu labda kwa siku 2 hiv, dah asee, nmefika nkalala lodge. kesho asubuhi mida ya saa 4 kwenda kukutana bahat nzuri nlimuona kwanza kabla hajaniona nkakuta manzi mbovu sana alafu ndo vile matege chini , shape mbovu hatari. nkampigia simu nikamwambia nmepata dharura, nikafuta namba yake na kuiblock, nikafuta na account f.book mpaka leo situmii tena. Ilibidi niondoke na gari za saa 6 kwenda kibondo .