darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 8,811
- 17,145
Unaona sasa! ili uonekane wa matawi lazima useme uko Dar. Hata kwenye FaceBook utakuta kijamaa cha mkoani kiko kijijini huko lakini kwenye profile utakuta kaweka 'Lives in Dar'Duuuuu,mm nilfikir unatoa point za maana ata reason kwann mlikimbia panya road wanaune mnashinda gym,kumbe point zako ni za mambo ya papuchi,kwel wew ni wa dar,maana hata mawazo yako ni ya kidar es salaam
Mm niko dar,lkn syo mwnaume wa dar
Mwanaume husfiwa kaz na.syo ujinga ujinga
Idiology super star