Sisi Wanaume Bhanaaa

Sisi Wanaume Bhanaaa

yaani anaacha kushangaa ugali anashangaa kiuno??? kweli wanaume kazi ipoo
 
Vingine usiwe unasoma mpendwa umesikia eenh...nikiwa na wayahudi nami nawa Myahudi, sasa wewe Myunani utapata shida kunielewa lol!!

Haha haaa my mpendwa wangu, nimefumba macho tayari lool...........siangalii tena hadi uniruhusu
 
Hahaha haa.....,
Tosa boyzzz mpo.,nakumbuka enzi zile kubaaabake ful ukame kwa muda wa takribani miezi mi2 umekuwa ukiiona sura ya sista mdalingwa na wauza mboga tu,sasa unaingia maeneo ya town unakutana na mambo kama hayo.,ayayaaaa unaanza kufanya imagination sasa,unamtoa sketi ya kitenge unamvisha kanga moko ndembendembe halafu unaicheki NYAMBI kwa uzuri,mara unamtoa kanga unamvisha Bikini halafu huo mkao ni complete namba saba.Hakuna kujiuliza mara mbili kwa mbali unasikia waarabu wanakuja, fasta unaulizia choo kilipo unaenda kumalizia hko.Ukitoka mwepesiiii unaendelea na safari ya Mkwawa High school ambapo Lunch itapatikana huko.
Huwezi kuamini hao vijana kwasasa wapo kwenye vitengo vya juu serikali,wengine wahadhiri mavyuoni,maofisa wa juu jeshini,wahasibu,maenginia,madaktari nk.
Tosa oyeeeee.,god bles Mkangwa,RIP Charwe na wengne wote mliotangulia mbele za haki.
 
052_05746.jpg

Mbona haishabihiani na mnayoyawaza? To me, it seems like Mr. watu8 is saying ''it has become tough already Angela, let me give a hand"
 
Last edited by a moderator:
Mwambieni asije kwetu Matak... Bar Arusha asije kutubakia watu wetu:
 
Na kweli pale napo ni noma...!!
Umeonaeee basi ukifika unitafutage basi na wewe Chocs. Mimi huwa napenda kukaa karibu na njia ya kwenda maliwato maana swala wote lazima wapitie hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom