Hahaha...kuna wakati huwa tunang'ata halafu wakati mwingine tunapuliza
ha ha ha ha..., mkuu umenikumbusha enzi hizo drasa la 4.., kuweka kioo chini ya sket alaf unawaita na wenzako..Angekua mjanja angeweka kioo kwa chini.
Mkuu ka-wezere kama hako ndio kanavaibreti kwa kasi ya hatareee...
Angekua mjanja angeweka kioo kwa chini.
Umenikumbusha mbali sana