NdiooooooNaifahamu sana, si ile ya mzee wa boda boda.
Nafikiri walioafiki wameshindaaa. Ahsanteeeeeeeeee...Ndioooooo
we usijali cha msingi usalama wetu na mbumba ipatikane
PM.... chumbani
Nikipata pesa nitakuja mjomba...! Shalom...lol
Upikaji huu wa UGALI ni mzuri kuliko ule wa kukaa na kukanyagia tambaliko huku vitu vikichungulia sufuria na kutoa harufu kwa vile ni mwembamba na mm nakubali jasho wala harufu ya chini wala kikwapa hakanaKa-mama lishe kamenona hako!!!