ibada usisahau........nina maombi maalum ya kukuombea!!!
pesa zako zitakuwa zinanuka!!!
BASI tutaanza kwa kunywa divai leo then kesho twende mkesha...ijumaa tunaamkia MORNING GLORY.:rockon:
hahahaaa nataka tumpe upako msomali na myahudi maana hawamjui kabisa Mungu!!!
Na kweli pale napo ni noma...!!
heeee Jiwe Linaloishi.. usalama na wake za watu utaupataje na wewe ni mgoni..? View attachment 91263
Iringa hiyo...
hahahaaa nataka tumpe upako msomali na myahudi maana hawamjui kabisa Mungu!!!
Na we hamnazo kweli! Hata ungekuwa wewe umemkuta mwanaume ananyoa, ungeshangaa kioo au dushelele?
mkuu na wewe kwa kufanya silent hanting nakuaminia, vipi mbeya walipona kweli??