Sisi Vijana wa CCM tumebaki wakiwa

Sasa umekalia umbea wako hapo offisini kwenu ufipani, kazi utafanya saangapiii. Akili yako inakutuma kuwa kila anayepata noti ameuza hizo ngada zehuna

Sasa umekalia umbea wako hapo offisini kwenu ufipani, kazi utafanya saangapiii. Akili yako inakutuma kuwa kila anayepata noti ameuza hizo ngada zenu
Nani mmbea weye nfija nawewe utaanza kulalamika kitambo
 
Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo.

Lakini sasa hali imekuwa ngumu hakuna wa kumjibu wapinzani wamejifanya kukaaa kimya kama Nchi siyo Ya kwao. Hata ile buku saba hapa lumumba imekata.

Ajira za chama zimekata pia, tulizoea kila mwaka sisi vijana makada watiifu kutuma vyeti vyetu kupangiwa kazi afisa tarafa, utendaji wa kijiji, na wale waliosomea msmbo ya uandisi walipangiwa kufanya kazi katika wizara husika. Mimi nilitegea kwa sababau nilitaka kuwa DED, DAS, RAC, DC au RC.

Sasa vyote nimevikosa nimebaki na piga miayo. Wapinzani jamani liamsheni dude ili nasi vijana tuwajibu kwa maneno ili tupate mkate wa kila siku.

Wanajamvi msinichukie hali ni mbaya huku ground, nawasilisha.

Ilani inasema Ajira mil 8 zitatengenezwa. Naangalia biashara zinavyoandamwa najiuliza hizo mil 8 zinatoka wapi?
 
Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo.

Lakini sasa hali imekuwa ngumu hakuna wa kumjibu wapinzani wamejifanya kukaaa kimya kama Nchi siyo Ya kwao. Hata ile buku saba hapa lumumba imekata.

Ajira za chama zimekata pia, tulizoea kila mwaka sisi vijana makada watiifu kutuma vyeti vyetu kupangiwa kazi afisa tarafa, utendaji wa kijiji, na wale waliosomea msmbo ya uandisi walipangiwa kufanya kazi katika wizara husika. Mimi nilitegea kwa sababau nilitaka kuwa DED, DAS, RAC, DC au RC.

Sasa vyote nimevikosa nimebaki na piga miayo. Wapinzani jamani liamsheni dude ili nasi vijana tuwajibu kwa maneno ili tupate mkate wa kila siku.

Wanajamvi msinichukie hali ni mbaya huku ground, nawasilisha.
Sawa mwalimu tumekusikia. Nyie si ndio architect wa Mitano tena nyinyi?! Mtuvumilie!
 
Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo.

Lakini sasa hali imekuwa ngumu hakuna wa kumjibu wapinzani wamejifanya kukaaa kimya kama Nchi siyo Ya kwao. Hata ile buku saba hapa lumumba imekata.

Ajira za chama zimekata pia, tulizoea kila mwaka sisi vijana makada watiifu kutuma vyeti vyetu kupangiwa kazi afisa tarafa, utendaji wa kijiji, na wale waliosomea msmbo ya uandisi walipangiwa kufanya kazi katika wizara husika. Mimi nilitegea kwa sababau nilitaka kuwa DED, DAS, RAC, DC au RC.

Sasa vyote nimevikosa nimebaki na piga miayo. Wapinzani jamani liamsheni dude ili nasi vijana tuwajibu kwa maneno ili tupate mkate wa kila siku.

Wanajamvi msinichukie hali ni mbaya huku ground, nawasilisha.
Hawa si vijana wa CCM, hawa nisquad ya tundulissu haina raha baada ya wananji kuwaumbua kotekote. Hii ni idara ya disinformation inaratibiwa EU
 
Back
Top Bottom