Sisi Vijana wa CCM tumebaki wakiwa

Sisi Vijana wa CCM tumebaki wakiwa

Hata kama unachangamsha jukwaa,ila ukweli ndo huo,mzee wa chato kavuruga nchi
 
Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo.

Lakini sasa hali imekuwa ngumu hakuna wa kumjibu wapinzani wamejifanya kukaaa kimya kama Nchi siyo Ya kwao. Hata ile buku saba hapa lumumba imekata.

Ajira za chama zimekata pia, tulizoea kila mwaka sisi vijana makada watiifu kutuma vyeti vyetu kupangiwa kazi afisa tarafa, utendaji wa kijiji, na wale waliosomea msmbo ya uandisi walipangiwa kufanya kazi katika wizara husika. Mimi nilitegea kwa sababau nilitaka kuwa DED, DAS, RAC, DC au RC.

Sasa vyote nimevikosa nimebaki na piga miayo. Wapinzani jamani liamsheni dude ili nasi vijana tuwajibu kwa maneno ili tupate mkate wa kila siku.

Wanajamvi msinichukie hali ni mbaya huku ground, nawasilisha.
Labda vijana wa hapo makao makuu ufipani. Mimi nikijana wa ccm ninayoamanii saaanaa.
 
Ukiwa tena wakati ajira millioni 8 zimezalishwa!? Miradi ya maendeleo inashika kasi na bado tuko uchumi wa kati huku wapinzani waliotuchelewesha tumewaondoa bunge lote ni kijani au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom