Sisi tunataabika, Kikwete anakunja nne Ikulu

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Rafiki yangu mmoja ambaye anafanya kazi Ikulu jana amenipa picha ya JK akiwa amekunja Nne katika jumba letu la Magogoni. Swali la kujiuliza, inafaa rais wa Nchi ambaye nchi yake ipo gizani, wananchi wengi kukosa mlo na foleni sizokwisha ni sahihi akakunja nne za raha mustahera namna hii?

Fashionable-President.jpg
 
Mwache ale raha mkuu wetu. Hana tabu. Anasubili muda wake uishe 2015. Kama hamkumchagua, ana haja gani kuwahangaikia? Kilichomweka madarakani ni fweza zake na familia yake.

:mod:
 
Tabu za wengine viongozi wa nchi hii haziwanyimi usingizi. Zingewahusu wasingethubutu kutenga kwenye bajeti matumizi ya "Contingency Non Emergency 314 bilioni" pesa hizi wangenunulia hata madawati.
 
Tabu wanapata wengine, yeye kitu gani kitakachomfanya ashindwe kukunja nne. Hizi tabu za wananchi kwani kuna kiongozi anayezijua? Wangezijua wangeweka kwenye bajeti "Contingency Non emergency 314 bilioni"? hizi si wangeweza kununua madawati.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndo maana anaandaa warithi wake ambao watamlinda baada ya kuharibu Ikulu. Hao ndo viongozi wa Africa!:mod:
 
Mubarak wa Misri na watoto wake wanafikishwa mahakamani huko Cairo hivi sasa!! Inabidi asome alama za nyakati na asifiche kichwa chake mchangani kama mbuni.
 
Rafiki yangu mmoja ambaye anafanya kazi Ikulu jana amenipa picha ya JK akiwa amekunja Nne katika jumba letu la Magogoni. Swali la kujiuliza, inafaa rais wa Nchi ambaye nchi yake ipo gizani, wananchi wengi kukosa mlo na foleni sizokwisha ni sahihi akakunja nne za raha mustahera namna hii?

Fashionable-President.jpg

jamaa yako kakudanganya......Hapa sio ikulu bali ubalozini DC.......Jamaa kala mlato mkali sana sijui ni HUGO BOSS....DUH KILA MTU NA PRIORITY ZAKE
 
Rafiki yangu mmoja ambaye anafanya kazi Ikulu jana amenipa picha ya JK akiwa amekunja Nne katika jumba letu la Magogoni. Swali la kujiuliza, inafaa rais wa Nchi ambaye nchi yake ipo gizani, wananchi wengi kukosa mlo na foleni sizokwisha ni sahihi akakunja nne za raha mustahera namna hii?

Fashionable-President.jpg

jamaa kapigilia magamba kuanzia juu mpaka chini................ hii ni picha kabla ya kujivua magamba...........
 
Rafiki yangu mmoja ambaye anafanya kazi Ikulu jana amenipa picha ya JK akiwa amekunja Nne katika jumba letu la Magogoni. Swali la kujiuliza, inafaa rais wa Nchi ambaye nchi yake ipo gizani, wananchi wengi kukosa mlo na foleni sizokwisha ni sahihi akakunja nne za raha mustahera namna hii?

Fashionable-President.jpg

Hili ndio lilikuwa lengo lake kubwa la kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - show up!
 
Anaefikiri Ikulu kuna raha, hajawahi kuwa hata na house girl nyumbani.
 
Rafiki yangu mmoja ambaye anafanya kazi Ikulu jana amenipa picha ya JK akiwa amekunja Nne katika jumba letu la Magogoni. Swali la kujiuliza, inafaa rais wa Nchi ambaye nchi yake ipo gizani, wananchi wengi kukosa mlo na foleni sizokwisha ni sahihi akakunja nne za raha mustahera namna hii?

Fashionable-President.jpg

Anapiga picha na picha yake......nguo hizohizo... what a waste
 
Anaefikiri Ikulu kuna raha, hajawahi kuwa hata na house girl nyumbani.
Kwa hiyo unachotaka kutuambia ni kwamba ukishakua na house girl nyumbani utajua kwamba ikulu hakuna raha?na sisi wenye house boys hatujui kama ikulu hakuna raha siyo?what an argument!haya sawa!
 
Wachaga na wakristokoko wakiona hivi wana nuna kweli, na tutazidi ku post picha hizi hadi wafe kwa donge..
 
Kweli Mjepu Bado U Kimeo , Sijakuelewa una maana au unataka kusema wakristo na wachaga ndo wanangang'ania kwenda Ikulu kufanya Upuuzi Kama Unaotokea sasa Nchini mwetu,acha wehu mjepu fanya tahmini kabla ya kusema.ukiendelea hivyo utapata laana na maisha yako yote yatakushinda kuanzia ndoa mpaka kulea watoto shauri yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom