Atacms JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 5,592 Reaction score 10,447 Friday at 5:13 PM #81 SanArt said: Fvck Click to expand... Daaaamn Attachments images (3).jpeg 4 KB · Views: 2
SanArt JF-Expert Member Joined Oct 14, 2026 Posts 1,014 Reaction score 1,668 Friday at 5:14 PM Thread starter #82 Kiranga said: Kupost post kila siku mada zisizo kichwa wala mguu, kila siku, kwa kujipa umuhimu wewe zaidi, mara unasema unaonewa, unachukiwa, ukiulizwa utoe ushahidi huwezi, ni sawa na ushuzi tu hapa JF. Unajambajamba mada bila breki tu halafu unaona ni muhimu. Click to expand... It's because people like you, see me as a threat.. Ishi maisha bila kukwazika na furaha ya mtu mwingine, Na kuchukia kupo sana, hasa kwa watu wanao vibrate higher
Kiranga said: Kupost post kila siku mada zisizo kichwa wala mguu, kila siku, kwa kujipa umuhimu wewe zaidi, mara unasema unaonewa, unachukiwa, ukiulizwa utoe ushahidi huwezi, ni sawa na ushuzi tu hapa JF. Unajambajamba mada bila breki tu halafu unaona ni muhimu. Click to expand... It's because people like you, see me as a threat.. Ishi maisha bila kukwazika na furaha ya mtu mwingine, Na kuchukia kupo sana, hasa kwa watu wanao vibrate higher
SanArt JF-Expert Member Joined Oct 14, 2026 Posts 1,014 Reaction score 1,668 Friday at 5:14 PM Thread starter #83 Atacms said: Daaaamn Click to expand... 😂
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 88,705 Reaction score 155,801 Friday at 5:19 PM #84 SanArt said: It's because people like you, see me as a threat.. Ishi maisha bila kukwazika na furaha ya mtu mwingine, Na kuchukia kupo sana, hasa kwa watu wanao vibrate higher Click to expand... Unajipa umuhimu usio nao. You are a pest, not a threat.
SanArt said: It's because people like you, see me as a threat.. Ishi maisha bila kukwazika na furaha ya mtu mwingine, Na kuchukia kupo sana, hasa kwa watu wanao vibrate higher Click to expand... Unajipa umuhimu usio nao. You are a pest, not a threat.
SanArt JF-Expert Member Joined Oct 14, 2026 Posts 1,014 Reaction score 1,668 Friday at 5:23 PM Thread starter #85 Kiranga said: Unajipa umuhimu usio nao. You are a pest, not a threat. Click to expand... Wewe unao? Na kwanini uone kuwa huo ni umuhimu kama sio kuwa triggered?
Kiranga said: Unajipa umuhimu usio nao. You are a pest, not a threat. Click to expand... Wewe unao? Na kwanini uone kuwa huo ni umuhimu kama sio kuwa triggered?
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 88,705 Reaction score 155,801 Friday at 5:24 PM #86 SanArt said: Wewe unao? Na kwanini uone kuwa huo ni umuhimu kama sio kuwa triggered? Click to expand... Hata ndondi watu wanapigana walio uzito sawa. You are not on my level. Straight to my ignore list. Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
SanArt said: Wewe unao? Na kwanini uone kuwa huo ni umuhimu kama sio kuwa triggered? Click to expand... Hata ndondi watu wanapigana walio uzito sawa. You are not on my level. Straight to my ignore list. Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
SanArt JF-Expert Member Joined Oct 14, 2026 Posts 1,014 Reaction score 1,668 Friday at 5:26 PM Thread starter #87 Kiranga said: Hata ndondi watu wanapigana walio uzito sawa. You are not on my level. Straight to my ignore list. Kuanzia hapa sitaona unachoandika. Click to expand... Safi kabisa, maana hata usinge jibu ni yale yale tu, the need to tell me is a proof kuwa wewe ni debe tupu
Kiranga said: Hata ndondi watu wanapigana walio uzito sawa. You are not on my level. Straight to my ignore list. Kuanzia hapa sitaona unachoandika. Click to expand... Safi kabisa, maana hata usinge jibu ni yale yale tu, the need to tell me is a proof kuwa wewe ni debe tupu
Luna79 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2026 Posts 513 Reaction score 1,452 Friday at 6:19 PM #88 Chiwawa wewe andika tu ilimradi humvunjii mtu heshima
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,102 Reaction score 58,017 Friday at 6:47 PM #89 Luna79 said: Chiwawa wewe andika tu ilimradi humvunjii mtu heshima Click to expand... Daaah huyu Dogo huwa anafurahisha kwa kweli . Kaja na uzi mwingine tena Thread 'Mapito hutujenga na si kutubomoa. (my story)' Friday at 5:46 PM Mimi huwa na majuto sana katika maisha yangu.. Nime pitia mengi sana, ambayo sometimes huwa najiuliza as to why God alinipitisha! Trauma, ilinifanya nikawa phobic, yaani niliona kabisa, this place(world) sio sehemu yangu. So Nikawithdraw into addiction, imenichukua muda sana. Nimekaa kuogopa kuishi kwa miaka mingi, because ya maumivu mengi sana. Ila mapenzi ya Mungu bwana, alifanya vile kuni humble. By the end of last year, kidogo nitoweke kabisa, I was suicidal. Ila nikasema ngoja tuone, ilikuwa unatamani usiku ufikie kalale then upitlize kabisa usiamke... That's how insane my...
Luna79 said: Chiwawa wewe andika tu ilimradi humvunjii mtu heshima Click to expand... Daaah huyu Dogo huwa anafurahisha kwa kweli . Kaja na uzi mwingine tena Thread 'Mapito hutujenga na si kutubomoa. (my story)' Friday at 5:46 PM Mimi huwa na majuto sana katika maisha yangu.. Nime pitia mengi sana, ambayo sometimes huwa najiuliza as to why God alinipitisha! Trauma, ilinifanya nikawa phobic, yaani niliona kabisa, this place(world) sio sehemu yangu. So Nikawithdraw into addiction, imenichukua muda sana. Nimekaa kuogopa kuishi kwa miaka mingi, because ya maumivu mengi sana. Ila mapenzi ya Mungu bwana, alifanya vile kuni humble. By the end of last year, kidogo nitoweke kabisa, I was suicidal. Ila nikasema ngoja tuone, ilikuwa unatamani usiku ufikie kalale then upitlize kabisa usiamke... That's how insane my...
Luna79 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2026 Posts 513 Reaction score 1,452 Friday at 7:01 PM #90 Manyanza said: Daaah huyu Dogo huwa anafurahisha kwa kweli . Kaja na uzi mwingine tena Thread 'Mapito hutujenga na si kutubomoa. (my story)' Friday at 5:46 PM Mimi huwa na majuto sana katika maisha yangu.. Nime pitia mengi sana, ambayo sometimes huwa najiuliza as to why God alinipitisha! Trauma, ilinifanya nikawa phobic, yaani niliona kabisa, this place(world) sio sehemu yangu. So Nikawithdraw into addiction, imenichukua muda sana. Nimekaa kuogopa kuishi kwa miaka mingi, because ya maumivu mengi sana. Ila mapenzi ya Mungu bwana, alifanya vile kuni humble. By the end of last year, kidogo nitoweke kabisa, I was suicidal. Ila nikasema ngoja tuone, ilikuwa unatamani usiku ufikie kalale then upitlize kabisa usiamke... That's how insane my... Click to expand... Oooh kumbe! Basi ndio maana anapenda sana kuandika humu. Ni sehemu ya yeye kuchangamana na kupunguza stress.
Manyanza said: Daaah huyu Dogo huwa anafurahisha kwa kweli . Kaja na uzi mwingine tena Thread 'Mapito hutujenga na si kutubomoa. (my story)' Friday at 5:46 PM Mimi huwa na majuto sana katika maisha yangu.. Nime pitia mengi sana, ambayo sometimes huwa najiuliza as to why God alinipitisha! Trauma, ilinifanya nikawa phobic, yaani niliona kabisa, this place(world) sio sehemu yangu. So Nikawithdraw into addiction, imenichukua muda sana. Nimekaa kuogopa kuishi kwa miaka mingi, because ya maumivu mengi sana. Ila mapenzi ya Mungu bwana, alifanya vile kuni humble. By the end of last year, kidogo nitoweke kabisa, I was suicidal. Ila nikasema ngoja tuone, ilikuwa unatamani usiku ufikie kalale then upitlize kabisa usiamke... That's how insane my... Click to expand... Oooh kumbe! Basi ndio maana anapenda sana kuandika humu. Ni sehemu ya yeye kuchangamana na kupunguza stress.