Sisi tunao post kila siku

There is no limit to what you can eat, but that does not mean you have to eat everything, everywhere, everytime.
I know and thats why I can do whatever I want, but that is seen as creepy by lower minds
 
Je, wataka kunibembeleza?

Tatizo mnaishi katika uhalisia wa kudhani mko so freaking spesho kumbe ni wa kawaida tu. Usipende kudhani unathamani zaidi ya binadamu au wanyama wenzio.
We naye unajuaga kuhangaika na mambo yasokuhusu! Nani kajiona spesho hapa unajitungia upumbavu! Kwani kuna binadamu asiye wa kawaida labda ana miguu sita? Nina thamani kulingana na nilivyo wewe kama huna utajua mwenyewe! Unaforce kushobokewa na kila member ukiona unapuuzwa unaanza kutoa milio! Huu mwaka utataga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…