Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 2,438
- 2,136
Si kila binadamu ni muaminufu kama udhaniavyo....hata Japan kina Chenge wapo...au umesahau yale ya Cote D'Ivoire na taka za sumu?
Ni kweli. Si kila mwanadamu ni mwaminifu. Na ndio maana hata ukaguzi wa huku bongo unaweza usisaidie lolote mbali na kuongezea rushwa na gharama kwa mnunuaji.
Lakini pia ungejaribu kupitia Environmental Chemistry of Iodine 131 na Iodine 129, halafu uchanganye na hazards za kuhandle radioactive subtastances, na economic loss inayoweza kutokea kwa makampuni ya Japan kama hayatakuwa honest, na changanya pia na seriousness ya serikali za wenzetu, ungekubaliana nami kuwa hamna haja kuhofia radiation ya kutoka Japan. Bora uogope polisi wa Tanzania wanaweza kukupa madhara zaidi.
Mfano uliotoa wa Cote D'Ivore ni mfano unaotisha lakini not applicable here. Zile zilikuwa ni "Hazardous Wastes (toxic chemical waste)"- not necessarily radioactive. Na halikuwa suala la biashara kama ya magari ambapo mtu mmoja mmoja anaagiza. Ni takataka zilizokusanywa kwa pamoja na walikuwa wanataka kuzi-deposit zikiwa zimeletwa na meli ya panama kutoka ulaya.