CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
INFOMATION JUNE 3 2011
Sijui sisi tukoje.......:madgrin:
Na kulaaniwa pia.....tumerogwa
Wanakuwa busy na kuzidisha values za magari ilki wapate kodi nyingi
Sisi wa kwetu bongo lala wapo busy na kupamna na chadema, huku tunaletewa magari yenye radition
Usiwe na wasiwasi.
Hilo jambo haliwezi kutokea.
Nani atakaye chukua gari lenye radioactive isotopes halafu alisafirishe mpaka bandarini kule japan, halafu mpaka lifike bongo? Hicho kitu hakipo na hamna haja ya kuwa na wasi wasi.
Nafikiri waganda wametumia ubunifu wa kuongeza ukusanyaji wa mapato kutoka kwa wanunuzi wa magari.