Niko poa Mr Rocky,
Mishe mishe tu za kazi zaz watu,
Vipi mzima ww?
Mimi mzima dear
Mishe mishe kama kawaida
nashukuru kwa uzima wako
ila :focus: Babu asije kutukimbiza hapa
Niko poa Mr Rocky,
Mishe mishe tu za kazi zaz watu,
Vipi mzima ww?
Babu niko tayari ila itategemea ni msaada gani anahitaji!Hajambo, la sivyo nisingekuwa hapa. Ila anajisikia vibaya, waweza msaidia bibiyo?
Haa haa haaa!Mimi mzima dear
Mishe mishe kama kawaida
nashukuru kwa uzima wako
ila :focus: Babu asije kutukimbiza hapa
Haa haa haaa!
Kwan hujui huyu ndio champion wetu wa kuchakachua sred za watu,
Tizama tunachodiscuss naye utangundua,
Jasiri haachi asili lol!
Lete story akistukia tunapotezea ebo!
Km ni hivyo mie tayari nina ban siku nyingi lol!Ila na yeye kwa kuchakachua ni balaa
Ila akianzishaga topic yake anaweka angalizo kabisa atakayechakachua anapewa ban
Inauma sana aisee!Sawa mkuu nakubaliana na wewe kukaa kimya ndio suluhisho
Ila moyoni mwako dhamira yako inakupeleka wapi
Kujua kuwa mkeo anatembea na wanaume wengine na wamemzalisha
Kuwa kuna siku ukigombana nae anakuambia ahhh kwani miongoni mwa wanaume na wewe upo
Na akueleze wazi kuwa hata hao watoto sio wako
Na hawara nae anakuambia kwani wewe nawe ni mwanaume
Unaniachiaga uchafu tuu huna kitu wewe wapo wanaoweza kunizalisha
Inauma sana aisee!
Haya babu sema shida ya bibi,nimsaidie mara moja!Uwezo unao kwakuwa kila alichonacho na wewe unacho!
Inauma sana aisee!
Kuna binti alikuwa anamsifia jamaa yake kinoma. Walipoachana baada ya jamaa kuchacha alikuja na mpya: "Nilimvumilia sana jamaa yenu, kwanza kadude kenyewe kadunju nikikohoa kanatoka" Khaaa! Eti "Akipanda kwenye kikojoleo anamwaga mkojo mnene hata kabla kabamia hakajagusa shavu, avadhali ya jogoo"
hahaaaaaaa Bishanga nimependa utunzi wako................
wanaume huwa tunajitia undava sana eti tunamiliki kumbe tunawapendezeshea wajanja wa mtaani,oooh mi mwanume bana....kumbe chai unapika wenzio wanywe ....oh 6x6 namtosheleza kumbe unampapasa tu,wenye mitalimbo ya kiukweli ndo wanamalizia shughuli...kha!
Aspirin kila akiingia hapa lazima nirudi nimpe za uso mpaka atangaze kuweka silaha chini!Mkuu duh balaa hilo
Bado uzi unaendelea
Aspirin kila akiingia hapa lazima nirudi nimpe za uso mpaka atangaze kuweka silaha chini!
that should be the best conclusion ya kufungia uzi huu,mimi nimeikubali mwambie fisadi wa ngono naye akubali basi yaishe!Ndo maana mimi nasema wote tupo hapa kuwekana sawa
Sidhani kuna mmoja atakayenyanyuka aseme mimi niko 100% perfect na sihitaji marekebisho tena mbele ya wife wake
Wote watakimbilia kuficha nyuso
Tukubali tuu tuna mambo ambayo japo kwetu tunayaona kama sio kero ila yanawakera wenzetu kiaina
hujambo love? ulilala jana? pole sana kwa kukosa usingizi? au shem hakukumbatii vizuri?Haya, tumesoma na imesaidia kuelewa mambo fulani fulani toka kwa wanaume....:lol::lol::lol: