Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Old is gold, nimepata mengi hapa.
Hahahaha.... afu wewe umeenda kuuibulia wapi huu uzi? Enzi hizo kina Madame B, Paloma, Raiza, charminglady walikuwa bado kuzaliwa.
Hamkawii kula kula vijisent vya watu na kusepa nyinyi mna njaa kwel. Na kama wewe unampenda huyo mwanaume kwanini inashindikana kuumpa anachotaka kama kweli umempenda na wewe