Sisi ndio wanaume bwana!

Sisi ndio wanaume bwana!

Umenifanya nitafakari..........
wanawake wa siku hizi................kulaleki!!!
Hahahaha......... amefunguka huyo!

Mwanaume ni Pesa! Money!

Ukiwa na Pesa:
Utakuwa handsome
Utaperfom vizuri kwenye sita kwa sita (hata kwa kuongopewa)
Utakuwa na dudu kubwa na zuri (hata kama ni kibamia kisichotahiriwa)
Utakuwa na mabonge ya six packs hata kama una minyama uzembe na mtambi kama wa Komba...

Achana na kitu pesa bana!!!
 
Duh Babu hili balaa sasa
Eti una kibamia unaambiwa una dufudu:cheer2:
 
Duh Babu hili balaa sasa
Eti una kibamia unaambiwa una dudufu
Kuna binti alikuwa anamsifia jamaa yake kinoma. Walipoachana baada ya jamaa kuchacha alikuja na mpya: "Nilimvumilia sana jamaa yenu, kwanza kadude kenyewe kadunju nikikohoa kanatoka" Khaaa! Eti "Akipanda kwenye kikojoleo anamwaga mkojo mnene hata kabla kabamia hakajagusa shavu, avadhali ya jogoo"
 
Babu hawa viumbe wanaoitwa wanawake achana nao kabisa
Na inawezekana hapo alikuwa anapiga makelele mbaya akiwa na jamaa
Kumbe jamaa anaibiwa bila kujijua:lol::sorry: kwa mshkaji
 
Hahahaha! Hawa watu akili zao wanazijua wenyewe........ we unaweza fikiri unamfikisha mtu kunako kumbe mwenzio anataka umalize haraka maupupu yake ili apate muda wa kumpelekea ODM wake.

Hatari kama malaria hii!
 
Haya mambo ni magumu sana mkuu
Wakati unafikiria kufanya hili mwenzako kashawaza mbali kuliko wewe na usije ukajitapa wewe kijogoo sehem wakati huko nje unanukishwa mbaya
Bora kula na kunyamaza kimya wala usijisifie wakusifie wenyewe
Maana unaweza kusema hili kumbe ushanukishwa mbaya halafu unaona washkaji wanachekea pembeni kimya kimya
 
Kuna binti alikuwa anamsifia jamaa yake kinoma. Walipoachana baada ya jamaa kuchacha alikuja na mpya: "Nilimvumilia sana jamaa yenu, kwanza kadude kenyewe kadunju nikikohoa kanatoka" Khaaa! Eti "Akipanda kwenye kikojoleo anamwaga mkojo mnene hata kabla kabamia hakajagusa shavu, avadhali ya jogoo"
Mmmmmh!
Shikamoo babu!
 
Haya mambo ni magumu sana mkuu
Wakati unafikiria kufanya hili mwenzako kashawaza mbali kuliko wewe na usije ukajitapa wewe kijogoo sehem wakati huko nje unanukishwa mbaya
Bora kula na kunyamaza kimya wala usijisifie wakusifie wenyewe
Maana unaweza kusema hili kumbe ushanukishwa mbaya halafu unaona washkaji wanachekea pembeni kimya kimya
Hujawahi kupata hii skendo?

Jamaa kapakaziwa na kanyumba ndogo kake kuwa ana ujauzito wake. Kwenda kupima akaambiwa hata mbingu zishuke hana uwezo wa kumpa hata kuku mimba, sembuse mwanamke binadamu? Yaani jamaa alikuwa hana mbegu za uzazi kwa asilimia zote!

Jamaa akapigwa na butwaa, na kujiuliza kimoyomoyo wale watoto watatu aliozaa na mke wake walishushwa na Roho Mtakatifu auHii maana yake ni kuwa:
Kuna wanaume wanamgongea mke wake
Na wengine wanamgongea nyumba ndogo yake.......

Kulaaaaleki walahi!
Maaanina!
 
Na she act so respectful to him as her husband
Yaani mkuu haya mambo ni kumshukuru Mungu wakakti unapopata mtu au mwanamke ambaye ana roho na hofu ya Mungu ndani mwake
Maana at the end unaweza pata ugonjwa wa moyo na sio ugonjwa tuu hata kuua unaweza kuua ukifikiria hayo
Imagine jamaa hiyo hasira aliyotoka nayo hapo kwa mke wako na kwa nyumba ndogo yake atafanya nini
 
Hahahaha.......busara ya kawaida yakupasa ujifanye hujui. Ukilipua ukweli dunia nzima itajua afu utaumbuka wewe zaidi kuliko mkeo. Unatakiwa uwe na moyo wa jiwe!

Kulaaleki!
 
Dah babu,
Nakunyima kutaitiwa na Mkolon wangu,
Nakupa big up,kwa kupata fursa ya kusalimiana na ww mda huu!
Bibi hajambo!
Hajambo, la sivyo nisingekuwa hapa. Ila anajisikia vibaya, waweza msaidia bibiyo?
 
Hahahaha.......busara ya kawaida yakupasa ujifanye hujui. Ukilipua ukweli dunia nzima itajua afu utaumbuka wewe zaidi kuliko mkeo. Unatakiwa uwe na moyo wa jiwe!

Kulaaleki!

Sawa mkuu nakubaliana na wewe kukaa kimya ndio suluhisho
Ila moyoni mwako dhamira yako inakupeleka wapi
Kujua kuwa mkeo anatembea na wanaume wengine na wamemzalisha
Kuwa kuna siku ukigombana nae anakuambia ahhh kwani miongoni mwa wanaume na wewe upo
Na akueleze wazi kuwa hata hao watoto sio wako
Na hawara nae anakuambia kwani wewe nawe ni mwanaume
Unaniachiaga uchafu tuu huna kitu wewe wapo wanaoweza kunizalisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom