Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Haya babu umenishinda lol!Kuonyesha laptop kuna ubaya gani?
Yani ulivyonigeuzia kibao,
Kunionyesha laptop sio ishu,ila kilichofunikwa na hiyo laptop ndio sitaki kukiona lol!
Haya babu umenishinda lol!Kuonyesha laptop kuna ubaya gani?
Hahahaha...usihofu. Mwanaume wako kama ni mwanaume wa ukweli, wala hutajua.
Mr Rocky,Matangazo mengine balaa mkuu
Hebu tembea basi unaonyesha baiolojia yako
kwani mwanaume halisi ana haja ya kujitangaza kuwa mimi ni mwanaume
Maana matendo yenyewe tuu yanatosha kumtambulisha kuwa yeye ni mwanaume halisi
Masharobaro ndo wenye kazi ya kujitangaza na kujitambulisha kuwa wao ni wanaume wakati hawana character zozote za uanaume
Mr Rocky,
Baologia somo au unamaanisha kitu gani?
Haka kamsemo nimekaona mara nyingi hu jf lkn sikaelewi,
Nieleweshe tafadhali!
Wakikusikia utaleta maafa makubwa!
Habari zenu waungwana.....
Huu ni waraka kwa vijana/wavulana wanaokaribia kuwa WANAUME. Kuwa MWANAUME si mchezo na si lelemama. Ushawahi kusikia Chama cha Wanaume, Umoja wa Wanaume, Umoja wa Wanasheria Wanaume, Umoja wa Madaktari wanaume etc?........ Hii inamaanisha MWANAUME ni Taasisi inayojitegemea.
Mwanaume kamili aliyekamilika si kama yule aliyozungumzia Bishanga kwenye sredi yake (kwa makusudi siweki link yake hapa)
Ili uwe MWANAUME yakupasa kwanza kabisa kumshukuru Mungu kwa kuumbwa jinsia ya kiume. Umepewa upendeleo lazima ushukuru. Halafu:
1. Uwe RIJALI na MMILIKI (hili halihitaji ufafanuzi) Ukishakuwa rijali unapaswa uwe na UMILIKI. Umiliki wa mwanaume rijali ni umiliki wa MWANAMKE/WANAWAKE. Iwe rasmi au vinginevyo. (Umiliki wa watoto pia ni muhimu japokuwa hili lategemea zaidi mapenzi ya Mungu). Ikumbukwe kuwa Mwanamke ni MALI ya mwanaume lakini watoto ni mali ya Mwanamke na Mwanamme.
2.Uwe na MAAMUZI. Usilegelege katika maamuzi yako. Mwanaume ndiyo kichwa cha familia, kichwa hakipaswi kuyumbishwa na mabega.....sawa? Kumbuka wewe ni taasisi!
3. MWAJIBIKAJI: Ni wajibu wako kuhakikisha Mwanamke UNAYEMMILIKI anatosheka na na kuridhika na huduma zako. Bioloji yake ipate habari yake sawa sawa, tumbo lake lipate chakula cha kutosha, mwili wake upate mavazi na miguu viatu. Mkipata watoto na mwanamke wako ni wajibu wako kuhakikisha wanapata mahitaji yote wanayostahili. Kama huna uwezo kwanini uzae kama kuku? Kulaaaleki!
4. Ukishafanikiwa kuyamudu yooote hayo hapo juu, usisahau kuwa duniani kuna wanaume wenzako. Tafuta muda wa kukutana na wanaume wenzako uongeze ujuzi na maarifa ya kuuishi uanaume. Hapo valuu, biya na nyama choma vinaruhusiwa kusikiliza maongezi yenu. Ukishapiga haya makitu rudi kwa mwanamke wako kampe haki yake kulaaleki. Ikumbukwe kuwahi kurudi nyumbani si sifa ya mwanaume. Mwache Mwanamke wako awe na muda wa kuwa huru na kulea watoto.
5. Inapotokea kwa namna yoyote na kwa sababu yoyote ile necha ikashika kasi ukajikuta unaenda nje ya MWANAMKE WAKO, hakikisha unaenda kwa uangalifu. MWANAMKE WAKO asijue! Kosa kubwa sana akijua, na hii si sifa ya mwanaume. Huo ni uvulana. Na huko ufanye kwa UANGALIFU. Usijemletea maradhi MWANAMKE wako.
Kuna wakongwe wenzangu, WANAUME wenzangu kibao wako hapa jamvini wanaweza kuendeleza huo mlolongo.
Au kama vipi, leo ni ijumaa, twaweza panga mkakati wa kukutana ili tuzungumzie uanaume wetu.
SISI NDIO WANAUME BANA! Wanaume ndio SISI.
Wanaume wengine hawa hapa wanaendeleza waraka.....
Haaa haaa haaa,ni ngumu kulisema hilo neno hapa bana
Muulize Babu anajua baiolojia ni nini
sio somno bana si unakumbuka kwenye baiolojia somo wanafunzi walikuwa wanapenda topic gani sana
Hiyo hiyo ya kuongeza idadi ya viumbe duniani
Haaa haaa haaa,
Nimekusoma Mr Rocky,
Dah! nilikuwa gizan mkuu!
Haaa haaa haaaa,Asante sana kwa kunielewa
Nimemuomba Babu kama sio siri atembeze bailojia yake nje aone kama watu hawatakimbia
Haaa haaa haaaa,
Awapi babu au mwingine,kwenye avatara tu kafunika na lap top,
Itakuwa kuitembeza live lol!
Si ndio maana kasepa haonekani mida hii!Si unaona eeehhh
Babu mjanja sana na anajua matumizi yake
Ila hapo baiolojia inapata moto balaa
Si ndio maana kasepa haonekani mida hii!
Unafanya mchezo nn?
SALMA, SALMA, SALMA how many times i called you?YOTE Ni porojo .. Mwanaume ni PESA..
YOTE Ni porojo .. Mwanaume ni PESA..