Sisi ndio wanaume bwana!

The Boss ndo maana uliamua kukaa kimya ili uje na huu uzi
Pongezi zako mkuu
 
Hamna vigezo mkuu!
Dowery is a business of "buy as it is". Mahari kufika 10M+ ni non-refundable deposit/security. Sio tena unaoa ukisha kuonja unadai urejeshewe mahari. Mweeee!
 
hahahaaaa lol....bi dada umenichekesha
ongea na sisi basi hao wapotezee (hivi hapa si ni chit chat?...kwamba waweza sema tu chochote)

hehehe! Chochote, ukiwa unapotea uwe unaniaga eeh. Nachoka kukumiss mwenzio.
 
ooooooh asante mpendwa sirudii kuchakachua
ila nina hamu na ngubiti na mabumunda aisee? unazijua ngubiti wewe?
Hahaha! Aisee umenikumbusha Uhuru shule ya msingi.. Lol. Hivi huwa zipo tena?..afu wanatengeneza na sukari guru au? Mate ya utamu wa kutafuna ngubiti yamenijaa mdomoni.
 
Hamna vigezo mkuu!
Dowery is a business of "buy as it is". Mahari kufika 10M+ ni non-refundable deposit/security. Sio tena unaoa ukisha kuonja unadai urejeshewe mahari. Mweeee!

Tunataka tubadili mchakato wa mzima wa mahari. Unaonaje hilo?
 
Reactions: bht
Wacha nilete vifungu....:eyebrows:

(sijui ntavitoa wapi)

heheeee bora umejilinda maana niliju afika unapiga krosi dhaifu sana hapo kaka.
 
Hamna vigezo mkuu!
Dowery is a business of "buy as it is". Mahari kufika 10M+ ni non-refundable deposit/security. Sio tena unaoa ukisha kuonja unadai urejeshewe mahari. Mweeee!

heheheee mamamia...imekaa vizuri hii
 
Haya wanaume wkend njema ila sisi ndio mama zenu.....
Ahsante sana rafiki. Tunalitambua hilo kama tunavyolitambua hili kuwa: Kama si wanaume nyie msingekuwa mama zetu.
 
hehehe! Chochote, ukiwa unapotea uwe unaniaga eeh. Nachoka kukumiss mwenzio.

aisee si unajua net za kuvizia hizi na simu za tochi...tabu tubu, nataka nijenge mnara wangu hapo nje

Hahaha! Aisee umenikumbusha Uhuru shule ya msingi.. Lol. Hivi huwa zipo tena?..afu wanatengeneza na sukari guru au? Mate ya utamu wa kutafuna ngubiti yamenijaa mdomoni.

heheheee sukari guru hiyo mamakee (waliiga zile goody goody za kenya...lol)
sidhani aisee kama zipo tumuulize Preta halafu hizo ziwe mandatory (huko kwetu) kwenye sehemu ya mahari ...lol!
 
Marhaba..... Tulipanga mtoko na na Asprin sasa yuko kimya hadi mida hii, naona napanga mkutane kaunta mkapange mikakati zaidi ya uanaume sasa nadhani no mtoko tena

Shikamoo mbona leo mapema shangazi? Au mnamtoko na mpwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…