Sisi ndio wanaume bwana!

Sisi ndio wanaume bwana!

Yaani we mzee wewe! Nilijua thread ya bishanga lazima itawagusa. Ona mshaanza kutapa tapa.
 
Mali umeitumia bila ya matunzo na huduma inayohitaji. Kama alikuwa aking'aa sasa kachakaa kama ana kwashiakoo. Smile lake la kufaa kutumika kwenye tangazo la Colgate kabla hujamuoa, sasa ana mapengo baada ya kumdunda.

Lazima uuze kwa hasara.
Dah!! Aisee nimecheka kweli kidogo nipaliwe
 
Asee!!! duh!!

sasa hapa,...aseee, duh! yani ni kwamba,
wale wavulana, ruksa kuhangaika na wasichana ambao hawajamilikiwa na WANAUME.
 
Mamushka najua unanijua vizuri. Mwambie Gaijin aache fujo eti.

fujo wapi...yaani hapa mi na endorse tu yanayosemwa na Gee
na mimi nilikujulia wapi na lini...tumia lugha vizuri biggy...lol
And hey...hii kodi ya ongezeko la thamani lazima ikuhusu eeh
 
Asee!!! duh!!

sasa hapa,...aseee, duh! yani ni kwamba,
wale wavulana, ruksa kuhangaika na wasichana ambao hawajamilikiwa na WANAUME.
Nilishawaambia vijana, kuna wanaume wengine watakuja kumwaga mapointi yao hapa. Nadhani wameniamini sasa....
 
Ingekuwa kwenye STOCK EXCHANGE ingekuwa safi sana ukiona shares zako zimepanda huyoooo unauza, uliishawahi kuona gari limepaki sehemu limebandikwa karatasi "For Sale Call The Following Numbers 0784....." halafu linakaa hapo karibia miezi sita hadi bodi inaanza kupata kutu

lol @ hadi bodi inaanza kupata kutu

Biashara ikishatambulika rasmi kwenye nyaraka za serikali, hakuna cha kuwazuwia kuweka kwenye stock exchange.

Jibaba ukifulia na hali ya mke kudhoofu, "thamani ya mabadilishano ya mke" inashuka na kugaragara.
 
Mali umeitumia bila ya matunzo na huduma inayohitaji. Kama alikuwa aking'aa sasa kachakaa kama ana kwashiakoo. Smile lake la kufaa kutumika kwenye tangazo la Colgate kabla hujamuoa, sasa ana mapengo baada ya kumdunda.

Lazima uuze kwa hasara.
Hahaha! Gee hapa nimecheka bila kituo, kha.
 
Asprin hawa Gaijin na bht ni wadada pekee ambao wanaombaa na sisi kwenye huu mjadala kisawasawa wako wawili tu lakini wanakaba utafikiri Chadema aisee
 
Kisha hili suala tusifanye mas'hara lina manufaa makubwa kwa mzunguko wa fedha na uchumi kwa ujumla.

Mahari yakianza kukatwa kodi, thamani ya nyumba ndogo itapanda nayo kwa vile demand itaongezeka kukwepa kodi! lolz

aaaaam, na hapo ngoja tupatafutie mpango mkakati Gee...lol
 
Na akitia tim amekwisha,kawaagiza Gaijin na bht waje wasimamie mada,lakini nao wanakula za uso!

Na huyo anaetupa za uso ni nani? Wewe ? Unanchekesha

Ulishajibiwa kama umenunua onyesha risiti na malipo ya kodi 😛
 
Na akitia tim amekwisha,kawaagiza Gaijin na bht waje wasimamie mada,lakini nao wanakula za uso!

Eiyer brother, sisi tumejituma bana...lol
hizo za uso nani kala mbona manundu sijayaona?
 
Hili lisredi limetulia, lakini limechakachuliwa sana! nashindwa nianzie wapi!! ngoja niwasalimu tu!!!:focus:
 
lol @ hadi bodi inaanza kupata kutu

Biashara ikishatambulika rasmi kwenye nyaraka za serikali, hakuna cha kuwazuwia kuweka kwenye stock exchange.

Jibaba ukifulia na hali ya mke kudhoofu, "thamani ya mabadilishano ya mke" inashuka na kugaragara.
Kuna haja ya kufanya feasibility study ili kujua kama kutakuwa na returns zozote ambazo zitakuwa beneficial maana isije mtu ukaishia kufanya investment wakati hata uwezo wa ku-afford kununua generator pindi pale umeme unapokatika hauna
 
aaaaam, na hapo ngoja tupatafutie mpango mkakati Gee...lol

Usihofu Bee.....thamani ya nyumba ndogo ikipanda watarudi wenyewe kujimilikisha rasmi kwa ndoa; kwa kuwa angalau hiyo wanaweza kuuza baadae japo kwa hasara.

Biashara ya nyumba ndogo ni hasara mwanzo mwisho ..................:]]
 
Asprin hawa Gaijin na bht ni wadada pekee ambao wanaombaa na sisi kwenye huu mjadala kisawasawa wako wawili tu lakini wanakaba utafikiri Chadema aisee

TF kaka hapa mbona warm up tu, na ushaanza kulalama tena!!!!
 
Gaijin & bht, kwa tukilipa kodi mtakubali kumilikiwa na mtakua na adabu zote kwa the owner? ukfungua mdomo tu nakutolea faili la risti tena lna tin na mhuri yte ya vat,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom