Sisi ndio wanaume bwana!

Sisi ndio wanaume bwana!

Sasa nyie si mmeamua kukaba hivi hauoni Gaijin anaziba mianya yote umebakia huo mmoja tu ambao ni VAT Inclusive ila nimeomba sheria hii isipitishwe wakati JK bado yuko madarakani.

umemuomba nani? Makinda?
sasa mimi ntasusia vikao ipitishwe haraka na tena ifanye kazi "kinyume nyume" (yaani kuanzia waliooa wakati wa uhuru, iwahusu...)
 
niko busy kidogo
nitaipitia baadae thread yote

but between Aspirin na Mbu.....kwa pamoja mmeeleza vizuri

nitarudi kuongeza

this is very usefull thread......Bishanga arekebishe ile ya kwake.....soon....
 
umemuomba nani? Makinda?
sasa mimi ntasusia vikao ipitishwe haraka na tena ifanye kazi "kinyume nyume" (yaani kuanzia waliooa wakati wa uhuru, iwahusu...)

He he he ........hapo lazima tuchimbe bwawa jipya la umeme!

Uchumi mnao mmeukalia- J.K.Nyerere
 
  • Thanks
Reactions: bht
niko busy kidogo
nitaipitia baadae thread yote

but between Aspirin na Mbu.....kwa pamoja mmeeleza vizuri

nitarudi kuongeza

this is very usefull thread......Bishanga arekebishe ile ya kwake.....soon....
Karibu sana mwanaume mwenzetu.
 
]niko busy kidogo
nitaipitia baadae thread yote[/COLOR]

but between Aspirin na Mbu.....kwa pamoja mmeeleza vizuri

nitarudi kuongeza

this is very usefull thread......Bishanga arekebishe ile ya kwake.....soon....
Boss "busy" ina maana nyingi sana
 
Hahahaha....... mkuu kaunta ya juu lazima ihusike. Mitaa ya Sinza na haka kamvua, nyagi litapata habari yake. Huo ndio uanaume sasa!

Makoloni ni mali ya mtawala......... turudi kwenye hoja tafazali .LOL
ODM lakini swali la msingi si unamiliki kihalali, uzia na wengine kama vile unavyouza kiwanja, magari n.k Ugumu uko wapi, kwikwik kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeh
 
Shida tuliyonayo sasa kama taifa kisha unataka serikali iendelee kukosa pato halali kwa kipindi cha miaka minne ijayo! Tungekutwisha che cha fisadi nyangumi lakini bahati mbaya kina mmiliki tayari......😛

umemuomba nani? Makinda?
sasa mimi ntasusia vikao ipitishwe haraka na tena ifanye kazi "kinyume nyume" (yaani kuanzia waliooa wakati wa uhuru, iwahusu...)

He he he ........hapo lazima tuchimbe bwawa jipya la umeme!

Uchumi mnao mmeukalia- J.K.Nyerere
Yaani nyie sio watu wa kuwakaribisha kabisa kwenye mchakato wowote ule mnaweza kuharibu mwenendo mzima...lol
 
He he he ........hapo lazima tuchimbe bwawa jipya la umeme!

Uchumi mnao mmeukalia- J.K.Nyerere

Akhaaa, tulipunguzie taifa adha ndogo ndogo bana...tukianza na umeme na maji...
 
Hahahaha....... mkuu kaunta ya juu lazima ihusike. Mitaa ya Sinza na haka kamvua, nyagi litapata habari yake. Huo ndio uanaume sasa!

Makoloni ni mali ya mtawala......... turudi kwenye hoja tafazali .LOL
Ulikuwa mwongozo tu kama uli walioomba wapinzani bungeni lakini Makinda akapotezea.
 
Akhaaa, tulipunguzie taifa adha ndogo ndogo bana...tukianza na umeme na maji...

Kisha hili suala tusifanye mas'hara lina manufaa makubwa kwa mzunguko wa fedha na uchumi kwa ujumla.

Mahari yakianza kukatwa kodi, thamani ya nyumba ndogo itapanda nayo kwa vile demand itaongezeka kukwepa kodi! lolz
 
ODM lakini swali la msingi si unamiliki kihalali, uzia na wengine kama vile unavyouza kiwanja, magari n.k Ugumu uko wapi, kwikwik kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeh
Kikawaida unauza kile kitu ambacho huitaji tena kukitumia, ukifika muda huo ntakuuzia. Vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Unanunua kwa milioni 10 baadae unaenda kuuza kwa milioni 3 hasara kabisa

Mali umeitumia bila ya matunzo na huduma inayohitaji. Kama alikuwa aking'aa sasa kachakaa kama ana kwashiakoo. Smile lake la kufaa kutumika kwenye tangazo la Colgate kabla hujamuoa, sasa ana mapengo baada ya kumdunda.

Lazima uuze kwa hasara.
 
Kwa hiyo kigezo ni biashara hailipi bora ufe nayo, hilo nalo neno kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeeeeeeeh.
Ingekuwa kwenye STOCK EXCHANGE ingekuwa safi sana ukiona shares zako zimepanda huyoooo unauza, uliishawahi kuona gari limepaki sehemu limebandikwa karatasi "For Sale Call The Following Numbers 0784....." halafu linakaa hapo karibia miezi sita hadi bodi inaanza kupata kutu
 
Haya mambo ya kuukalia uchumi tena mmmhh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom