Sisi handsome boys tunakwama wapi?

Kwani kwenu hakuna hela ? Hadi uanze kusifia mwanaume kisa ana hela? Umekulia maisha gani enh?
Umejuaje aisee, kwetu hamna hata mia mbovu, hongera wewe kwa kukulia kwenye maisha ya hela, Mimi nilimaanisha mwanaume anasifiwa kwa hard working inayopelekea kuwa na dough/pochi nene.

So nyie kwenu mwanaume sura siyo ,safii endeleeni kushindana kwenye vioo na Dada zenu.
 
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Mmmmmh mkuu ukijiona handsome halafu unadate na dem ana sura km ubao wa supu basi utakua huna hadhi stahiki ya kuitwa hivyo.
Mahondsome wenzako tumedate na vyombo mpk kuoa tumeoa vyombo tena vya asia.
TUKUULIZE WW HANDSOME MWENZETU UNAKWAMA WAPIIII!!!!!???
 
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
kila kitu ni jinsi unavyokichukulia.

wewe unaona kama handsome boys wanafata madem wa kawaida, mimi naweza nikaona kama madem wa kawaida ndo wanawafagilia handsome boys.

kwa mtazamo wako ni kwamba handsome boys wanashobokea wanawake wa kawaida, kwa mtazamo wangu wanawake wa kawaida wanawashobokea handsome boys.

binadamu tunaishi kwa adventures.. mwanaume ana ndoto ya kuchapa demu mkalii, na unakuta mwanamke na yeye ana ndoto ya kulala na mwanaume handsomeee balaa, yani anaapa kabisa siwezi kila siku nilale na type za Dr. Lemmy, ndo mana hata ukimuangalia mke wa T.I ni wa kawaida sana

your left hand is a right hand if you look in the mirror.
hivi vitu ni subjective, opinion yako inaweza isifanane na ya kwangu, inategemea na jinsi unavyoliangalia swala.
 
[emoji1][emoji28][emoji28][emoji38] kwamba na ww n handsome
 
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
handsome lazima awe na kaushoga flani ivi
 
Nakwama kwenye kuhonga mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…