Sisi Bado Tuko Kwenye Mchakato??????

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Nilikua Nairobi majuzi tu, mandhari ya huko imebadilika sana kwa ujenzi wa barabara za juu...nashukuru kwa ankal michuzi kuturushia picha hizi P1030938.JPG
 
Wazo la Ujenzi wa Fly Over Ubungo lilikua tangu mwaka 1976, hadi leo hii ni kitendawili, wenzetu wanakimbia sisi bado tunatembea P1030940.JPG
 
Tunaingia kwenye jumuiya ya mashirikiano, wenzetu wakiwa wameshavaa viatu na sisi tuko peku, alafu uwanja una mbigili, wanashughulikia tatizo la foleni, sisi ongezeko la magari ni maisha bora
mibamiba P1030947.JPG
 
Kazi yetu KUBWA KWA SASA ni kuandaa magari ya FFU pale Field Force Kwa Mromboo, ili yawatandike vizuri wanaArumeru watakaochagua CDM!
Huo ndio mpamgo-Mkakati na mpango mahsusi wa muda mrefu unaolenga kudumisha amani yetu!
Tanzania bila Wapinzani inawezekana!
 
Yaani kenya hii hii!
Tulianza mbio wote na sasa wenzetu wako mbali , ni hapa jirani tu, ukiondoka saa kumi na mbili saa mbili umeingia, Mombasa ndio usiseme kabisa , wanajenga port nyngine kubwa na Nairobi nimekuta JK (JOMO kENYATA SIO JAKAYA KIKWETE) wanajenga Terminal ya nne, sisi tuna tuwili tena kamoja ni kama hakatumiki
 
Kazi yetu KUBWA KWA SASA ni kuandaa magari ya FFU pale Field Force Kwa Mromboo, ili yawatandike vizuri wanaArumeru watakaochagua CDM!
Huo ndio mpamgo-Mkakati na mpango mahsusi wa muda mrefu unaolenga kudumisha amani yetu!
Tanzania bila Wapinzani inawezekana!
Kipaumbele ni kuongeza magari ya ving'ora kwenye misafara ili kufisha foleni
 
hivi ukiongozwa na mtu kama huyu jamaa wa Msoga unafikiri utaendelea kwenda wapi?
Huyu huyu aliyewaambia wezi wa mabilioni ya EPA warudishe usiku?

Forget it!!!
We are doomed!!!
 
hivi ukiongozwa na mtu kama huyu jamaa wa Msoga unafikiri utaendelea kwenda wapi?
Huyu huyu aliyewaambia wezi wa mabilioni ya EPA warudishe usiku?

Forget it!!!
We are doomed!!!
usikate tamaa serikali iko kwenye mchakato/mbioni
 
Mchakato wenyewe upo kwenye hatua ya UPEMBUZI YAKINIFU.
baada ya upembuzi yakinifu kukamilika kutaundwa sera na mpango mkakati.....................na serikali itafanya juhudi za kupata mwekezaji wa kigeni kisha mbia....
 
Back
Top Bottom