Sisi Bado Tuko Kwenye Mchakato??????

Sisi Bado Tuko Kwenye Mchakato??????

Dr Magufuri akitaka kufanya kazi yake mnalalamika,wakati huohuo mnataka barabara nzuri
watanzania bwana si lolote si chochote

mwacheni magufuri afanye kazi yake naimani tutafika pale tunapo pataka la sivyo tutalalama sana.

alianza bomoa bomoa mkaja juuu kwelikweli,leo hii mnaanza tena kupiga kelele
 
Kazi yetu KUBWA KWA SASA ni kuandaa magari ya FFU pale Field Force Kwa Mromboo, ili yawatandike vizuri wanaArumeru watakaochagua CDM!
Huo ndio mpamgo-Mkakati na mpango mahsusi wa muda mrefu unaolenga kudumisha amani yetu!
Tanzania bila Wapinzani inawezekana!

Mkuu Pj, sera ya Taifa kwa sasa ni kipigo kwanza. Hii ni katika kupambana na changamoto zinazotukabili kwa sasa haswa migomo na maandamano ya mara kwa mra.
 
Hizo fly over ni cha mtoto;

Angalia project nyingine ambazo ziko kwenye hatua za utekezaji:
1. Tatu City Pjoject
2. Lamu Port Project unaoenda sambamba na;
i. Ujenzi wa oil refinery na oil pipeline mpaka South Sudan;
ii. Ujenzi wa airports kwenye miji ya Lamu, Isiolo na Lokichiko

Watanzania wamebaki na misemo yenu "TUMEJIPANGA", "TUKO KWENYE MCHAKATO", na maneno meengi yasiyo na tija wala uelekeo.
 
baada ya upembuzi yakinifu kukamilika kutaundwa sera na mpango mkakati.....................na serikali itafanya juhudi za kupata mwekezaji wa kigeni kisha mbia....

baada ya hapo tutatengeneza tume,kupitia kama upembuzi yakinifu ulizingatia malipo ya waliojenga kandokando ya barabara
 
Dr Magufuri akitaka kufanya kazi yake mnalalamika,wakati huohuo mnataka barabara nzuri
watanzania bwana si lolote si chochote

mwacheni magufuri afanye kazi yake naimani tutafika pale tunapo pataka la sivyo tutalalama sana.

alianza bomoa bomoa mkaja juuu kwelikweli,leo hii mnaanza tena kupiga kelele
Kuna msemo kuwa development is painful,sasa sisi vizuri tunataka lakini kuvunja nyumba karibu na barabara ili ipanuliwe hatutaki,hela za ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia mjini mpaka Kibaha zipo nadhani mwaka wa 5 sasa lakini ujasiri wa kuvunja hatuna mpaka nimesikia wafadhili wanataka warudishie walichochangia,inasikitisha sana.
Kuna maneno nimetokea kuyachukia mpaka nikiyasikia napata kichefuchefu MCHAKATO,UPEMBUZI YAKINIFU, TUNAWASILIANA NA WAFADHILI,MRADI HUU UKO KWENYE BAJETI IJAYO n.k.
 
mkuu
maghufuri alisema siku moja,kuwa kama tutachelewa kuvunja hizo nyumba tuta mchelewesha mkandarasi na utakapo fika mda wa kumaliza kazi kwa mkandarasi yeye atadai chake,kwani tayari alisha ingia mkataba na ameleta vifaa site,vifaa hulipia kwa siku,so mwisho wa siku pesa yote itaishia kwa kulipia fidia kwa mkandarasi

mimi nawalaumu viongozi kwani wanaleta siasa ktk mambo ya msingi kabisa
 
Hata barabara ya Tanga-Horohoro naskia malipo yamefanywa mara 2 kwasababu hii hii ya kukosa uthubutu wa kuvunja nyumba za wavamizi barabarani.
 
Kama angeulizwa Dr Kikwete angesema hivi:
Baada ya Uchaguzi Mkuu nimefanya uteuzi wa viongozi wapya...Wao, na wale wa zamani, ilibidi tukae pamoja ili kuelewana, na kuwa na mwelekeo mmoja, kuhusu kazi wananchi mliyotutuma tuifanye, nayo ni kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kwa maendeleo na manufaa ya wananchi wote
---Tuko kwenye sera mpya ya maendeleo vijijini inayozingatia dhana mpya ya mipango shirikishi
---Pia najipanga upya kimuundo na kiutendaji ili kutekeleza ilani ya ccm
----Nipo kwenye mchakato wa kupanua gereza la segerea maana lililopo halitoshi,na kwamba jingine lazima lijengwe
 
Maendeleobila CCM inawezekana
 
Back
Top Bottom