Aina ya ma lecturer tulio nao , wanataka kuona wanafunzi wanateseka, ka wao walivyopata shida wakati wanafunzi. Badala wa muwezeshe mwanafunzi ku gain credible knowledge, wao wanataka ateseke?
Kuna todauti kubwa sana na vyuo vya UK na hapa. Dunia mbili tofauti kabisa
Mkuu sijui unafeli wapi? Unasoma PhD na unalalamika upo serious kweli? Unafikiri supervisor wanakula email?
Tengeneza na weka mazingira supervisor wako akutambue na siku moja moja akupigie simu akijidai amekosea au anataka kukusalimia tu!
plus pressure kabisaKusoma PhD Bongo nikutafuta stress
OUT ukisoma ukiwa waziri au mbunge, una graduate wiki ijayoKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Hata ukiwa na lolote lile ni tatizo huenda mchepuko wako kakuzunguka sababu unasumbua na hata kazini Kuna wachawi Wana shida sana utakuta hataki usogeeKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Zingatia maokoto mkuu,penyeza rupia kwenye shidaMimi mwenyewe nimepanga kuachana nao pamoja kwamba ada yangu wamechukua. Ni Bora kufanya mambo mengine na kuachana na watu wasiokuwa na mwelekeo. Watu wanaringa kuliko hata Rais wa nchi.
Wanasiasa nchi hii wameshaishindwa kabisa,imagine,imagine mkuu wa pale yupo kisiasa na Chancellor sijui nae vipiMara kadhaa huku kwenye makundi sogozi ya OUT nimekuwa nikiwapa za uso kwa watumishi wake kukosa weledi, hawana customer care kabisa.
Halafu wanakera sana tabia yao ya kutoa matokeo nusu nusu, kwa mfano ikiwa hawaja kuwekea matokeo ya somo moja utasota sana hadi kuja kuwekewa, ukiwajulisha wahusika hawatatui kwa wakati mara wasipokee simu, na hata ukiwacheki WhatsApp utaishia kuchezea blue tick tu.
Kinachochekesha zaidi kwamba wewe ambaye hujawekewa matokeo ndio uwape taarifa ya 'missing results' wao wenyewe sijui hawana mifumo ya kutambua au vipi...!! Wanachofanya hakiakisi maana ya CHUO HURIA, matarajio yangu ilikuwa kuona chuo hiki kinakuwa mstari wa mbele kiteknolojia lakini bado wapo analoji.
OUT mnachosha.!!
Supervisor akiona kazi yako haina jipya ni AI 75%, copy and paste 85%, haina mchango kwa chuo wala Taifa; hakika atakufanyia hayo yote. Kwa UDSM ungeshadisco; bora OUT wanakuvumiliaKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Umewahi kusoma OPEN ?Mimi sijui nipoje,,ila nawoana wanaoenda kusoma OPEN UNIVERSITY HAWANA AKILI,,,wameogopa kwenda Udsm au mzumbe kuogopa kufeli
Sijawahi na sikuwahi kufikiria kusoma huko,,,,first degree Udsm,,masters Mzumbe ya Morogoro full timeUmewahi kusoma OPEN ?
😁😁😁umenichekesha mkuu, sasa mtu anakwambia akimfata biafra anaambiwa yupo mkoani mara nje ya nchi unampatia wapi, na kwanini umpe kichapoUnashindwa kimraghai asogee karibu umpe kichapo utararamika hadi lini
Bora maana open inahitaji watu smart Sana .Sijawahi na sikuwahi kufikiria kusoma huko,,,,first degree Udsm,,masters Mzumbe ya Morogoro full time
Sasa tukianza kutaja product za Udsm na Mzumbe si itakuwa balaaa,,,ngoja niishie hapa ila Out wanaenda watu waoga wa kusoma,,,hivi huko watu wanadisco?maaana sijawahi kusikiaBora maana open inahitaji watu smart Sana .
Mfano wa product ya open ni Mwambukusi
So ukiwa kilaza open patakusumbua sana