Sirudii kushika simu ya mwanaume

Dah..kwa ushauri huu...labda ningeongezea...kila anapoenda..asifungue mabegi yako...safari zitakuwa hazijaishaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Beretta ARX 160
 

Narudia tena ukiwasikiliza sana wanawake utagombana nao sana, kama unamwamini mtu kwanini umpekue? kitu kingine nakupa angalizo hata uwe na uhusiano mzuri vipi there is certain level of privacy binadamu yeyote lazima awe nayo na ni haki yake sio lazima ujue kila kitu cha mwenz wako, na ndio mana binadamu yeyote yule kuna siri moja anaijua yeye mwenyewe na hawez kumwambia mtu yeyote na atakufa nayo, fanya risech wewe mwenyewe utagundua kuna kitu ulishawah kukifanya na hakuna mtu yeyote anaejua na haupo tayari kumwambia binadamu yeyote.....mwache kudanganya watu start living the reality. Unafikiri kwanini wazungu wanaachana sana kuliko hata sisi na simu zilianzia kwao ? simu sio kila kitu aisee na kusema ukweli globalization ndio inaua relationships nyingi sana......


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante nimepazingatia
Dah.. asikudanganye mtu...hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja...hii ndiyo asili yao...Wanaonekana waaminifu ni wale wenye afya dhaifu...wenye uchumi mbovu...au wako smart kwenye mambo yao (hawajakamatwa)....
Kama mwanaume anakupa mahitaji yako yote na akakushibisha kimwili..omba Mungu ampe akili na akulinde wewe na maradhi...Mwanaume kuchepuka siyo maana yake hakupendi....Ila asipolipa bili zako na gem hakupi...hapo sepa fasta...hakupendi .. ukweli mchungu[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 

Alafu for your information rate ya watu kuachana bongo na Ulaya ulaya ndio kubwa zaidi, Ulaya unakuta mtu kama eddie murphy ashaoa na kuacha kama mara tano ivi, yan sio kuwa tu na mwanamke kuingia kabisa kwenye ndoa, sasa nipe nfano hata mmoja wa stail kama hyo bongo ??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna upotoshaji hapo.....jamaa yupo sahihi kabisa. Mapenzi hayana privacy...

Note:
Usichanganye contents za MAHUSIANO YA KIMAPENZI na MAHUSIANO YA KINDUGU/MARAFIKI. Kuna utofauti mkubwa sana....

Sent using Jamii Forums mobile app

Prisoner of hope kila binadamu anayo level of privacy ambayo hataki ifikiwe na mtu yeyote yule hata mama yake mzazi, you guys gat to learn something...no matter how deep we are there some stufs siwez kukwambia PERIOD....Ukimwambia mwanamke kila kitu, Eventually you become the victim....Nyie endeleen kuachiana simu alafu siku mtaleta mrejesho...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante ila kusahau itakua ngumu dah
utasahau weweee!
umepita hapo ili kujifunza SIO LAZIMA KILA MAHUSIANO YAISHIE NA NDOA!
MENGINE YANAKUJA ILI KUJIFUNZIA STYLE TU!
msiwe mnacomplicate sana maisha!
AMEKUJA ULIMPENDA YO HAD FUN YAMEISHA SONGA MBELE!

kukaaa kutosahau mapenzi yalokuumiza ni kukubali kuumia in the past and in the future!
UNALIA KIDOGO UNAKUBALI MATOKEO!ENDELEA KUISHI!
 
Hahaha [emoji4] [emoji4]

Mama hata kwa herufi ndogo ndogo ataelewa huyu..

Sio kwa huu msisitizo. [emoji23]
UMEFANYA SAHIHI
MI NIKISHAACHA KUSHIKA SIMU YAKO, NA NIKAKUZUIA KUSHIKA YANGU!
kimsingi nimeshakuacha na we mwenyewe!

Sent by anonymous user
 
Nilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena

Ulikuwa unatafuta nini kwa simu ya mumeo, na umekuta nini tofauti na hulichokuwa unatafuta?
Mimi naamini kabisa ulichokuwa unakuchunguza ndicho ulichokikuta, sasa kwa nini unaweweseka? Ukome kabisa.
 
Naona una principle za kuanzisha vita ya tatu ya dunia wewe. Nina uhakika kila mtu akipewa acess ya simu ya mwenza wake kuanzia sasa hivi,ikifika jioni ndoa zote na mahusiano yatakuwa yamevunjika 75%.

Ndo ujue sasa ndoa zote hizo unazosema zitavunjika ni za hovyohovyo ndio hao wanaojaza server za jamiiforums kuandika thread za kupotosha watu eti kila Mwanaume anacheat, eti hakuna mwanamke wa peke yako, eti ndoa ni kuvumiliana (Ujinga hautakiwi kuvumilika hata siku moja) ndoa ni upendo! Kucheat siyo bahati mbaya hata siku moja ni kujiendekeza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haha mi nimesoma hapo kwenye style tu
 

Kwahyo wewe siri zako zoote umeweka kwenye simu? Yaani kila kitu chako kipo kwenye simu? Maisha yako yote umeyahifadhi kwenye simu kiasi kwamba inahitaji privacy ya level unayoisemea? Kama siri ambazo sitaki kumwambia nahifadhi kwingine! Simu ni , ndio chanzo cha mahusiano na Privacy unayoificha wewe kwenye simu ni Mahusiano tofauti na uliyo nayo hakuna nyingine! Nipe mfano wa siri moja tu tofauti na mahusiano ambayo ni lazima ifichwe kwenye simu???[emoji102][emoji102][emoji102] ambayo inahitaji privacy ya level unayoizungumzia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

bwana bwana kuna mambo mengine wanaume hatuwaambiag wanawake na the more anakaa na simu yako the more anakaribia kujua wewe kama hutaki basi ila me simu yangu inafingerprint kabisa sitak utan nampenda mwanamke wangu sitaki tugombane sababu eti iwe simu, thats not possible


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mambo hayo ambayo hatuwaambii wanawake ndo unayaficha kwenye simu? Kama ndio kuna ulazima wa kuyaficha kwenye simu? Siri ya Simu ni michepuko tu hakuna lolote linalofichwa humo!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…