Mkuu kwa manufaa ya sie ambao ni watupu naomba utowe nini hasa A. Tibaijuka yuko vizuri zaidi kuliko Migiro. Na unaposema hivo unasema katika ufanisi wao ama CV zao ama kwa vigezo vya nani anaweza kuwa raisi?
Kwanza Anne Tibaijuka has been the under secretary general wa UN kwa muda mrefu lakini pia at the same time head of the UN-Habitat. As the UN under secretary general she became the first and only African woman kuwa in such a high rank within the UN system. Vile vile kwa muda mrefu alikuwa member wa bodi ya UNESCO, blair's commission for Africa, let alone many other assignments WFP, Beijing conference on women etc. Tibaijuka is a true diplomat and shes fluent in English, French, Swedish.
Pili, she has experience in research as she published numerous books and articles, sio magazetini bali kwenye reputable journals on issues pertaining to housing, economic development etc. Isitoshe, she has excelled her PhD into professorial level, and i think it is clear to almost everyone that Dr. Tibaijuka and Professor Tibaijuka carry totally different weights in the said fields.
Tatu, She is a professor
(not lecturer) of Economics and has taught that at the UDSM.
Nne, ni Mbunge wa watu (mbunge wa watu JIMBO), sio mbunge wa Rais.
Tano, ni Waziri wa sekta ambayo alikuwa anaifanyia kazi miaka nenda rudi in the UN system. Hivyo ni waziri by merit, na hata ukubwa wa UN HABITAT and under Secretary of the UN alipata by merit na ndio maana hapakuwa na malalamiko wala maneno alipoteuliwa kushika nyadhifa hizo. Isitoshe, nadhani sote tunaelewa mchakato wa kuteua mkubwa wa UN agency au position ya under secretary general unapitisha watu tanuri gani unlike cheo cha Deputy secretary general. Cheo cha deputy secretary wa UN ni kizito na kina heshima lakini ukipata nafasi, angalia job description and then compare it to vyeo vya head of any of the UN agencies.
The bottom line is, tunajivunia Asha Migiro, lakini tusimpoteze akilini Tibaijuka, and any woman in Tanzania au Africa who wants to learn from the best baada ya utafiti mdogo tu atagundua hili.
Naomba nieleweke kwamba sisemi Migiro hana uwezo kuliko Tibaijuka, my point is,
tusimsahau Tibaijuka tunapoongelea sifa za Migiro.
Kuhusu suala la nani anafaa urais, binafsi sina uwezo at this point kujenga hoja hiyo on neither of the two. Time will tell. Otherwise between the two, it is quite clear kwamba mmoja alijipanga zaidi ya mwenzake
to have a progressive career (not regressive) kwa maana ya kwamba Tibaijuka hajajikuta kwenye fall back position unlike Migiro ambae anarudi alipotoka na pengine anasubiri baraka za Rais pengine amteue tena kuwa mbunge na waziri.