Siri za Nape nje: Ni zile zinazomhusu Lowassa;Profesa Mwandosya pia atajwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri za Nape nje: Ni zile zinazomhusu Lowassa;Profesa Mwandosya pia atajwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipanga mlakuku, Jul 11, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Nani leo ndani ya CCM asiyefahamu azma ya Kikwete na Nape ya kumwandalia njia Professor Mark Mwandosya ya kuwa rais wa 5 wa Tanzania? hata hivyo juhudi za Kikwete na Nape zinaonekana kugonga mwamba huku baadhi ya wana ccm wakimwambia Kikwete na Nape waachane na ngoma ya kitoto hiyo ambayo kwa kawaida haivuki saa sita usiku.

  Utamu wa siasa ndani ya CCM unanogeshwa na manguvu ya kimtandao ya Edward Lowassa yanayomshinda nguvu Mwandosya kiasi kwamba amebaki kuomba msaada wa Kikwete na Nape Nauye hata hivyo nao hawawezi kuzima nguvu za Lowassa.

  Najaribu kufikiria kwenye mchafukoge huu nani atakayemweza Lowassa? ikiwa huyo Mwandosya mwenyewe ambaye ndiye chaguo la Kikwete na Nape anaonekana kuzidiwa nguvu na mapigo ya Lowassa!

  BAADAE:
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Prof Mark Mwandosya ni mgonjwa hafai kuwa raisi....yuko India kwa operation kubwa.
   
 3. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunataka rasi kijna ,
  Mwenye ubongo unaochemka na sio hawa mnaowataja taja wote wamechoka ndio hao wanao lala bungeni.

  Wakati sasa umefika kuachana na hawa wanoelekea kustaafu au wamestafu utumishi wa umma wakamua kuingia kwenye siasa.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hivi huyu Kipanga mlakuku na Kiwalanikwa gude ni mtu na mdogo wake? Mmoja kajiunga tarehe 8 June na mwenzake tarehe 9 Juni. Lakini malengo ya mada zao ni kuonyesha nguvu alizo nazo Lowassa ndani ya CCM.
   
 5. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni kama unapanga timu yenye madefender wote sasa sijui nani atashambulia. Kifo na kiama chenu ni October 2015. Mengine haya porojo, unafiki na uzandiki wa Njaa kutumwa kusafisha wanasiasa waliokwishakata tamaa.
   
 6. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kikwete anamwandaa Asha Rose Migiro. Kikwete anajua kwamba CCM haipendwi na kete iliyobaki ni kumuibua mwanamke ili wajenge hoja kuwa huu ni muda wa mwanamke. Hoja hii ilifanikiwa kumpindua Sitta kwenye uspika. Vijana wa Nape msitudanganye.
  My take; CCM itaangukia pua kama kanu bila kujali wanaleta mwanamke au mwanaume. Suala hapa ni maslahi ya nchi. Siyo jinsia, dini, kabila, rangi, urefu wa mtu, nk.
   
 7. m

  mja JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF kuna vituko..!!! mara Asikofu kafunuliwa kuwa Lowasa raisi 2015, mara kikwete anampa shavu Mwandosya...mara mingiro... daaahhh, kesho mtasikia mja ndo raisi 2015....
   
 8. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,077
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  Lakini Mwandosya anaumwa aliongea kama wiki mbili zilizopita akiwa Hosp. India. Je hali yake inaendeleaje wakuu.
   
 10. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hiyo Post namba 9 - Hilo behewa lilisanifiwa vibaya, au jamaa ni warefu mno, au labda ni mambo ya Photoshop? mbona vichwa vinashindilia dari?
   
 11. F

  FUSO JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,859
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  duh - mtu wa kusimama uraisi kwa CCM akakubalika simwoni - may be Magufuli anaweza walau kupata 41%. wadau wa siasa za bongo nisahihisheni kama nimekosea.
   
 12. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  pumba€ usimbague mtu kwa cku alyojiunga.. Jaji anacho'post
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,586
  Likes Received: 82,135
  Trophy Points: 280
  Umeniwahi Mkuu nilitaka kuandika hivyo hivyo :). Nasikia chaguo la Kikwete ni yule Asha Migiro na Hussein Mwinyi. Kwa maoni yangu afadhali Asha Migiro ili sijui kama ana support kubwa ndani ya chama cha magamba na pia Kikwete hana ushawishi mkubwa wa kuweza kumpigia debe. Yule Hussein Mwinyi hastahili kabisa hasa baada ya kuvurunda katika sakata la mabomu ya Mbagala na Gongo la Mboto. Kwa hiyo kama Lowassa, RA na Chenge hawatemwa nadhani hawa na kundi lao jipya la mtandao ndio wanaweza kutoa mgombea toka chama cha magamba.
   
 14. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  usalama wa sisiemu upo kama watamteua Magufuli
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Hatuwezi changua Mgonjwa aisee! RIP Levy Mwanawasa. Kama Lt Col Kikwete ana machaguo lake na sisi watanzania Mil 40 tuna chaguo letu
   
 16. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  aise hivi Mwandosya anasumbuliwa na ugonjwa gani hasa?something chronic and serious or what?
   
 17. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  kagonjwa aka hatutaki Rais kimeo hatuna ela za matibabu kila Dakika, tungemweka ZITO lakini kutoa kwakwe kwatutia shaka.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahaha ugonjwa ni siri ya Daktari! Ila nasikia ni kale kaugonjwa ketu ka taifa.
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,586
  Likes Received: 82,135
  Trophy Points: 280
  Kumbuka kuna kuchakachua pia kama mtandao/mafisadi walivyochakachua 2005 na hatimaye Kikwete kuibuka Kidedea. Hivyo 2015 pia wanaweza kuchakachua toka mgombea wa magamba na pia kuchakachua uchaguzi mkuu kama ilivyotokea 2010 na Watanzania zaidi ya milioni 40 kuachwa solemba.
   
 20. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli ni jasusi. Heshima kwako mkuu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...